Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,726 Reaction score 5,668 Jun 5, 2024 #21 dindilichuma said: PhD ya heshima hauanzi na Dr kwa mujibu wa utaratibu. Mfano Mr.Maharagwe Chai, PhD(Hon.causa) na si, Dr. Maharagwe Chai. Hilo la uprofesa wa Heshima sina uelewa nalo wajuvi watatujuza. Click to expand... Sasa huyu wetu mwenye tano za heshima mbona anaanza na Dr na hiyo Hon causa haweki kabisa
dindilichuma said: PhD ya heshima hauanzi na Dr kwa mujibu wa utaratibu. Mfano Mr.Maharagwe Chai, PhD(Hon.causa) na si, Dr. Maharagwe Chai. Hilo la uprofesa wa Heshima sina uelewa nalo wajuvi watatujuza. Click to expand... Sasa huyu wetu mwenye tano za heshima mbona anaanza na Dr na hiyo Hon causa haweki kabisa
ProcrastinatorInChief JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 13,006 Reaction score 29,516 Jun 5, 2024 #22 Forest Hill said: Umenikumbusha movie ya Fighting club, Pitt anasema "Sticking feathers up you butt doesn't make you a chicken" Click to expand... Dah Haki ya Mungu Nimecheka Sana 😅😅🤣🤣🤣
Forest Hill said: Umenikumbusha movie ya Fighting club, Pitt anasema "Sticking feathers up you butt doesn't make you a chicken" Click to expand... Dah Haki ya Mungu Nimecheka Sana 😅😅🤣🤣🤣
M Mbuli yaza JF-Expert Member Joined May 30, 2023 Posts 797 Reaction score 762 Jun 5, 2024 #23 dindilichuma said: PhD ya heshima hauanzi na Dr kwa mujibu wa utaratibu. Mfano Mr.Maharagwe Chai, PhD(Hon.causa) na si, Dr. Maharagwe Chai. Hilo la uprofesa wa Heshima sina uelewa nalo wajuvi watatujuza. Click to expand... huo uprofesa wa heshima haupo hiyo ni dharau tu ya hao waliompa, afadhari naye kastuka.
dindilichuma said: PhD ya heshima hauanzi na Dr kwa mujibu wa utaratibu. Mfano Mr.Maharagwe Chai, PhD(Hon.causa) na si, Dr. Maharagwe Chai. Hilo la uprofesa wa Heshima sina uelewa nalo wajuvi watatujuza. Click to expand... huo uprofesa wa heshima haupo hiyo ni dharau tu ya hao waliompa, afadhari naye kastuka.