gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Watanzania na Dunia nzima ilikuwa ikifuatilia kwa karibu saana mchakato wa kumpata mgombea urais kwa tiketi ya CCM, hali hii imekuwa tofauti kabisa na michakato ya CDM, NCCR,NLD na CUF na hatimaye UKAWA. Bila shaka Watanzania kwa ujumla wao wameulinganisha michakato ya UKAWA kuwa ni sawa na Vikao vya Kamati za HARUSI tu, kwani watu wenyewe wachaaache, tena hata kamera za Wandishi wa habari kutoka Mataifa makubwa Duniani kama ilivyotokea kwa CCM hawapo kwenye Mchakato wa UKAWA. Je kuna haja gani kwa mtu mwenye busara na hekima kuamini kuwa kuna vyama vya upinzani vyenye nguvu Tanzania? au kuna vyama vya kutafutia Ruzuku na umaarufu kama wanavyofanya akina Sugu, Lisu, Mbowe, Mnyika, Wenje n.k ?

Tafadhali UKAWA ni muumgano wa vyama itakuwaje saccos ya mtu? Rekebisha kauliukawa sio chama ni sacoss ya mtu na mkwe wake wanajipanga kugawa miradhi.
Ok rai yangu kwa mashabiki wa ccm ukibeza beza kwa hoja sio kwa kejeli.Imani yangu ni kwamba yeyote anayeitetea ccm anafaidika kwa namna moja au nyingine hamna jinsi ila kumbukeni mwenyekiti wenu amekiri kuwa ccm ina rasilimali nyingi lakini hazitumiwi kwa maslahi ya chama vipi sasa hivi muweze kutumia rasilimali za taifa kwa maslahi ya umma.
Mechi za mwisho wa ligi huwa hazina Mvuto kama Bingwa kishapatikana
Tafadhali UKAWA ni muumgano wa vyama itakuwaje saccos ya mtu? Rekebisha kauli
Hata MagufuIi hakua na mvuto wakati wa mchakato.
wanamabegi ya unafiki na utapeli wa ruzuku
Kwa Kuwa wao hawana rushwa.