yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,527
- 1,405
Siku moja jioni mke wangu mjamzito alikuwa na kivimbe kama kigololi au kitenesi hivi kstikato mwa uke wake, hapo alikuwa na ujauzito wa miezi Saba.
Nikampeleka hospitality docta akasema ni kawaida kwa wanawake waja wazito baadhi yao kuwa na kitu ka hicho na kitapotea chenyewe na kwamba si lazima kunywa dawa, kweli baada ya siku chache kitapotea chenyewe.
Lakini baada ya mwezi mmoja leo kimetokea Tena hakimuumi ila kiuno tu ndo kinamuuma, naomba wataalam na wanawake mniambie experience zenu kuhusu hi Hali,
Isije kuwa hatari