Kwanini Kibonde amezikwa Dar na si 'kwao' Mbeya?

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,054
994
Nenda salama braza, nilikuwa na badonakubali sana swaga zako.


Lakini najiuliza, ni kwanini familia yako imeamua kukuzika Dar es salaam na sio Mbeya kwenu ?

Jamani inapendeza sana siku tukifa tuzikwe mikoa tuliyotokea. Siku nikifa naomba nizikwe mkoa wa Mara pale Musoma Mjini ( Kamnyonge ) kwenye chipuko la babu zangu.

Hata wewe unayesoma hapa ukifa kazikwe kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wa muwasu,hasa yale makaburi ya mwisenge!
 
Uache kabisa gharama za kusafirisha maiti yako, usitake kutupa mizigo ya bure. Kwani tukikuchoma moto au tukikuzika mabwepande utatufanya nini na ushakufa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata harusi nyingi za watu wa mikoani hufanyika Dar,
Mitume na manabii wengi pia wametumwa Dar,
Viongozi wetu wabunge, wakuu wa mikoa, hata Raisi pia wanaishi Dar,

So Usishangae Mwili wa Kibonde kuzikwa Dar.
 
Umeacha nauli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unataka ukifa ukazikwe Musoma mjini.....? Mpaka sasa umedeposit sh ngapi kama Fedha za kusafirisha Mwili wako...? Fanya maandalizi mapema ukizingua kinondoni kwenyewe hatukupeleki tutakupeleka makongo juu kule kwenye makabuli ya Walala hoi pembezoni kwa mto mbezi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…