muhamar Gadaf
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 1,047
- 988
Nenda salama braza, nilikuwa na badonakubali sana swaga zako.
Lakini najiuliza, ni kwanini familia yako imeamua kukuzika Dar es salaam na sio Mbeya kwenu ?
Jamani inapendeza sana siku tukifa tuzikwe mikoa tuliyotokea. Siku nikifa naomba nizikwe mkoa wa Mara pale Musoma Mjini ( Kamnyonge ) kwenye chipuko la babu zangu.
Hata wewe unayesoma hapa ukifa kazikwe kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app