Kwanini Kenya ni maarufu kuliko nchi nyingi za Afrika

... Lakini tukubaliane kwamba pamoja na kwamba kuna mambo fulani fulani tunashabihiana lkn ukweli uko palepale kwamba huwezi kuwalinganisha watanzania na wakenya katika maswala ya kujitambua kwa watu.
Nakuambia tunazidiana vitu flanflani....wakenya kuna mambo tunawazidi na wao kuna mambo wanatuzidi
Kuna mambo kenya yana nafuu kwa tz na kuna mambo tz yana nafuu kwa kenya

Ova
 
Wako kimataifa zaidi

Ova

kweli majirani mpaka tulipofikia hawana mpinzani pia nadhani ndio wanongoza Afrika kwa vijana wao wakiume kuolewa kwa ndoa na mababu wa kizungu huko duniani
 
When NIC Bank Kenya was acquiring Savings and Finance Commercial Bank, it highlighted a significant education gap between Kenyans and Tanzanians. I used to work for NIC Bank back then. Your education system needs restructuring for you to remain competitive in the International job market.
 
Kenya imedidimia kwa sekta ya utalii tangu 2013. Tanzania na Uganda zimetupita in terms of earnings. Mombasa kuna resort mingi za wageni ambazo tour packages hulipiwa toka nje. Hii haina faida kwa kenya. Mombasa gets less than 100k western tourists per year, zanzibar ni over 500k

Toka Uhuru awe rais 2013 alianza kuuza mbuga za wanyama kwa wazungu(conservancies trusts ) hizi sasa zimekuwa Crown lands. Ndipo king Charles alizuru kenya kuhakikisha crown tea estates and wildlife ziko kwa mikono yao. Wanamiliki 10% of Kenyan lands.

Kenya is a neocolonial state.
Tunawaonya nyinyi EAC community kwamba kenya wants to bring slavery back. Kulamba matak0 ya wazungu is our speciality.

Mimi nasikia uchungu sana kama mkenya.
 
Hivi kwanini KENYA ni maarufu kuliko nchi nyingi sana

Katika bara letu la AFRICA?

Yani ni vitu gani.....vinaifanya KENYA..ijulikane sana

Kuliko nchi nyingine nyingi za ukanda huu wa AFRICA?

Sahau kuhusu the issue of WILDLIFE.

WHY KENYA?
1) Lugha
2) Nairobi (Ina Settlers wengi sana wa Kiingereza na Kiitaliano)
3) Mombasa Port & Hotels
4) JKIA na Williums Airport(Hii ina miaka mingi sana na ilitumiwa na wakoloni)
5) Large no. of Diaspora in US, UK, UAE, QATAR etc.
 
si uende uishi huko bongolala
We supported apartheid south Africa and agreed to the safariclub arrangement. We support apartheid Israel and involve ourselves in in Ukraine russia business instead of being non aligned. Kenya is a neocolonial state firmly in the hands of global capitalists

There is a lot the country does to undermine African countries that I cant speak of. Only Kibaki had a spine
 
wewe lia kabisa hata ukipenda, ujaze bucket nzima na machozi. nchi yako Bongolala iko 30yrs behind Kenya and yes we undermine 'them' coz we can. Kenya is to Africa as America is to the world. Tutawawekea hadi sanctions kama hamuwezi kuwa serious.
 
have a look πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…