Kwanini Kenya ni maarufu kuliko nchi nyingi za Afrika

Angalia vipaji vya riadha vile vile vilivyopo Kenya Tanzania vipo, ila mafanikio ya riadha Kenya ni tofautibkabisa na Tanzania.

Tanzania figisu za kisiasa nyingi sana. Kenya wenzetu wanapeana fursa na michongo.
Hapa Mwisho umepigilia msumali wa moto
 
Hivi kwanini KENYA ni maarufu kuliko nchi nyingi sana

Katika bara letu la AFRICA?

Yani ni vitu gani.....vinaifanya KENYA..ijulikane sana

Kuliko nchi nyingine nyingi za ukanda huu wa AFRICA?

Sahau kuhusu the issue of WILDLIFE.

WHY KENYA?
Nchi kubwa iliyotawaliwa na Muingereza Afrika ya Mashariki. Na ndio makao makuu ya Mwingereza
 
Wewe umetoka na bile yako ya Nairobi vs Dar ukaleta huku. Angalia watanzania wenzako wasiokuwa na uzalendo bandia (blind patriotism) wanavyochangia humu. Take this bile away. Hapa tunaongea pasi na uzalendo

Please Please Please!!!
Stop attacking me. Attack the facts.
 
Hii sio kweli, Tanzania kuna maeneo mengi tu hamna mitandao ya simu, hata ukipanda tu basi kutoka Dar kwenda Mwanza humo njiani kuna maeneo ambayo mitandao ni shida.
 
1.Michezo (tiadha)
2.Wachapakazi (hasa usimamizi wa biashara/miradi)
3.Wana uzalendo haswa japo ukabila hauondoi uzalendo walionao kwa nchi yao
 
Naombeni msaada kwa yeyote aliyeko Nairobi
Njoo in box kuna kitu nataka unisaidie nataka kukwama.
Asante!
 
I beg to differ ,Kenya hata vijijini mtandao upo strong.ila tz Arusha na dodoma katikati Hamna network I swear.
 
Hivi kwanini KENYA ni maarufu kuliko nchi nyingi sana

Katika bara letu la AFRICA?

Yani ni vitu gani.....vinaifanya KENYA..ijulikane sana

Kuliko nchi nyingine nyingi za ukanda huu wa AFRICA?

Sahau kuhusu the issue of WILDLIFE.

WHY KENYA?
Nchi zipi hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…