Data ziko wapi,,..!?Unakuta hata makazini huku kwenye circle za wale wa 50+, wanaoongozea kufariki na kupata maradhi ni wale wanywa pombe.
Miaka 50 wengi katika hili kundi inazoeleka kuwa na magonjwa kama matatizo ya vibofu, maini, kisukari, bp, n.k.
Kundi hili pia ukifatilia ndio hufa mapema zaidi
Wanywa pombe wengi hawana msongo wa mawazo kama wanywa soda na juice.Unakuta hata makazini huku kwenye circle za wale wa 50+, wanaoongozea kufariki na kupata maradhi ni wale wanywa pombe.
Miaka 50 wengi katika hili kundi inazoeleka kuwa na magonjwa kama matatizo ya vibofu, maini, kisukari, bp, n.k.
Kundi hili pia ukifatilia ndio hufa mapema zaidi
elimika mkuu, pombe inaongeza presha ya damu, kurudia rudia kunaleta uwezekano mkubwa wa matatizo ya bp ukifika miaka takribani 45 na kuendeleaWanywa pombe wengi hawana msongo wa mawazo kama wanywa soda na juice.
kisukari na hayo magonjwa mengine uliyotaja wanayapata wanywa soda kwa wingi
Acha pombe,pombe mbaya Ina micotin.Na huchchea sana kula nyama.Unakuta hata makazini huku kwenye circle za wale wa 50+, wanaoongozea kufariki na kupata maradhi ni wale wanywa pombe.
Miaka 50 wengi katika hili kundi inazoeleka kuwa na magonjwa kama matatizo ya vibofu, maini, kisukari, bp, n.k.
Kundi hili pia ukifatilia ndio hufa mapema zaidi
Sawa Wacha tuone!Pombe ni sumu inaua ini
Hata soda ni sumu pia,maji ni uhai!Umetumwa?
Wakifa wanakudhuru nini?
Wewe hautakufa vile haunywi?
We usinywe hujalazimishwa kaa uishi miaka Mia tisa achana na maisha ya watu
Eti uchunguzi, uchunguzi wa Mavi. We kunywa masoda yako hayo uishi milele
Kuna mzee mmoja anaitwa Chalz Njonjo mwanasheria mkuu wa zamani Kenya. ana miaka 103 mpaka leo anakula beer. Muhimu jitahidi kubalance diet achana na hizo ngonjera za kudanganya watu kwamba pombe zinauwa! Kila kitu jitahidi ufanye kwa kadirielimika mkuu, pombe inaongeza presha ya damu, kurudia rudia kunaleta uwezekano mkubwa wa matatizo ya bp ukifika miaka takribani 45 na kuendelea
Asilimia ngapi hiyo?Kuna mzee mmoja anaitwa Chalz Njonjo mwanasheria mkuu wa zamani Kenya. ana miaka 103 mpaka leo anakula beer. Muhimu jitahidi kubalance diet achana na hizo ngonjera za kudanganya watu kwamba pombe zinauwa! Kila kitu jitahidi ufanye kwa kadiri
Hawa ndio wanataka wazee hadi wawe wanabebwa kama watoto wachangaHata soda ni sumu pia,maji ni uhai!
Jamaa yangu anaita kula chakula!Pombe inayonywewa kama chai huwa si nzuri kiafya. Madaktari wameshaweka kiwango cha afya cha kunywa pombe.
Mtu ukihesabu kwa wiki amekunywa kreti 5 pekee yake, utegemee atakuwa salama?
Jiwekee utaratibu kuwa unakunywa beer maybe on weekends siku ya ijumaa na jumamosi, au anyday katikati ya wiki but uwe na limit, say inakunywa zako beer tatu hadi tano then basi unaenda nyumbani.
Sio unalewa hadi haujitambui every day of every week.