klinbritetz
Senior Member
- Sep 23, 2020
- 162
- 129
Habari Mwana JF,
Kwa uzoefu wa kutosha, miaka mingi, katika tathnia ya ushauri na biashara, nimebaini kwamba kampuni nyingi zimeingia kwenye shida na matatizo makubwa mnoooo, baada tu ya kusajili. Nime gawa makundi ya watu(kampuni na matattizo yake)
KUNDI NO. 1
KAMPUNI ZILISAJILIWA NA HAZIKUFANYA BIASHARA/KUTOA HUDUMA KAMA ILIVYOKUSUDIWAAAA...
Wengi wapo kwenye kundi hili, Ni wameingia gharamja kubwa, ni kama wamepoteza pesa tu. Wengine imewachukua hata miaka kukamilisha usajili, lakini wapo walio kamilisha usajili na amebaki tu ana vyeti; kwamba anayo kampuni na hafanyi chochote na hiyo kampuni. wengine wakaona motooo na sasa walioingia tena gharama za kuifunga kampuni zao.
kwanini wamefika hapo?
ama, hawakufanya utafiti wa kutosha
ama, walihemka
ama, walipata dili na kabla ya chochote dili ikayeyuka
ama, HAWAKUPATA MSHAURI MZURI, kwa maana nyingine walipata mshauri asiye na uzoefu (mbaya)
KUNDI NO.2
KAMPUNI ZILIYOSAJILIWA, ZIKAANZA OPERESHENI LAKINI HAZIJUI YAWAPASAYO KUJUA-SHERIA ZA TRA,BRELA, LICENSE...( ie, COMPLIANCE) BAADA YA KUSAJILI
Makampuni haya ni yale yamejikuta yameingia kwenye madeni makubwa mnooo yasiyo ya lazima kwasababu tu, hawakufanya yawapasayo kufanya; hasa hasa upande wa TRA,
ijulikane; kufanikiwa kusajili ni moja, lkn zipo taratibu za kufuata baada ya kusajili za kila mwezi (mfano kufanya makadirio, kupeleka ritani ya kila mwezi-PAYE,SDL , VAT, WCF...); hata kufanya hesabu za kila mwaka n.k.
KUNDI N0.3
KAMPUNI ZILIZOFANIKIWA KUFANYA YAPASAYO LAKNIN SIYO KWA USAHIHI
Wengine wamepata watu wa kuwafanyia kazi kiujanja ujanja na katika makosa mengi. Kiukweli muda watu wa namna hii wanafanikisha kile wanakitaka, lkn baada ya muda yanainuka ya kuinuka na hali yao ya mwisho inakuwa mbaya kuliko ilivyokudhaniwa.
KUNDI NO4.
KAMPUNI ZINAZO FANYA VZR NA KUONA MATUNDA
Hawa ni wale walio fuata taratibu zote kwa usahihi, wamekutana na watu sahihiu, wakakubali kuingia gharama stahiki na mwisho wa siku wanaona matunda
siri yao ni:
Kupata watu sahihi,
Mtu sahihi/mshauri sahihi ni:-
Yule mwenye sifa sahihi kwa hitaji lako:
Anao uzoefu katika ushauri wa mambo ya makampuni.
Aliye na maarifa mapana, mfano kuasjili kampuni, kufanya mambo ya kodi, Leseni na mengineyo lakini ana elewa mambo ya kisheria pia
Na ndivyo tulivyo sisi,
kwa uzoefu wa namna hii matokeo ni azima.
Tunao uwezo wa kujua na kushauri kwa upana na hata kutoa mapendekezo kwa
KAMPUNI YA BINAFSI
KAMPUNI YA LIMITED
KAMPUNI YA PARTNERSHIP
KWA WAZAWA
KWA WAGENI NCHINI
IKIWA WEWE, UMEWAHI KUTANA NA CHANGAMOTO KAMA HIZO HAPO JUU LAKINI NYINGINE -NYINGINE
KARIBU TOYAJENGE PAMOJA....