vipi china hawakuwahi kuzaliana sana? india vipi?
sio kweli.Unajua ni kwa nini leo hii Uchina wamefikia hapo walipo? Ni kwa sababu mwaka 1979 Serikali ya Uchina ilianzisha kitu walichokiita one child policy ambapo hakuna Mchina aliyeruhusiwa kuwa na mtoto zaidi ya mmoja, na ndiyo maana leo hii Umaskini umepungua tena sana Uchina, hata India wanadili na population control sasa hivi ingawaje hawajafankiwa sana!
Hivyo bila ya uzazi wa mpango umaskini kuondoka au hata kupungua sahau!
Du! hizo "Personal attack" zinakusaidia nini? Wewe jenga hoja yako kwani maendeleo ya taifa ndiyo maendeleo ya watu wa taifa husika. Umewahi kujiuliza ni kwa nini pesa unazozitumia hazina picha ya baba yako ama saini ya mjomba wako? Ujue maendeleo ya mtu mmoja hayana maana kama taifa halina maendeleo. Zimbabwe Mugabe si maskini, lakini taifa analoliongoza si maskini pia?Maendeleo Ya taifa ni hesabu za kujumlisha za maendeleo ya watu binafsi katika taifa development is a summation of individual development in a nation jiulize wewe binafsi na familia yako Na ukoo wako kwa Nini hamjaendelea mko choka mbaya
Kwani unamaanisha maendeleo yapi katika nchi?Unadhani ni sawa kwa mfano una watoto kumi na una chumba kimoja tu cha kuishi, na utetezi wako kwamba umeendelea kwa kuwa ulikuwa huna "Flat Screen tv" na sasa unayo?
Kuzaliana sio sababu ya kuendelea taratibu,nchi hii ni kubwa,kuna maeneo hayana watu,rasilimali watu inahitajika.Unadhani ni sawa kwa mfano una watoto kumi na una chumba kimoja tu cha kuishi, na utetezi wako kwamba umeendelea kwa kuwa ulikuwa huna "Flat Screen tv" na sasa unayo?
Nenda marekani imeendelea sababu kuna watu binafsi akina Billy Gates na familia zao wameendelea na wako wengi swali hicho kifamilia chenu kwa Nini hakijaendelea hadi mkitaka kuoa mnachangisha ili muoe au muolewe mtu asipowachangia mnamuNunia kwa ulofa mlio nao. Lini mtaondoka kwenye ulofa kuwa ikitokea arusi au msiba msitegemee michango? Kama Kibinafsi huelewi kwa Nini hujaendelea usiulize kwa Nini nchi haijaendelea huna sifa za kuuliza hilo swaliDu! hizo "Personal attack" zinakusaidia nini? Wewe jenga hoja yako kwani maendeleo ya taifa ndiyo maendeleo ya watu wa taifa husika. Umewahi kujiuliza ni kwa nini pesa unazozitumia hazina picha ya baba yako ama saini ya mjomba wako? Ujue maendeleo ya mtu mmoja hayana maana kama taifa halina maendeleo. Zimbabwe Mugabe si maskini, lakini taifa analoliongoza si maskini pia?
Huko Marekani unaposema wasio na ajira wakifikia asilimia 10 tu inakuwa mshike mshike. Kama suala ni maendeleo binafsi ni kwa nini basi tunakuwa na serikali?Nenda marekani imeendelea sababu kuna watu binafsi akina Billy Gates na familia zao wameendelea
Watu na ardhi tunavyo , lakini siasa safi na uongozi bora hakuna hata chembe .Taifa huendelezwa na watu wake kwa kutumia maarifa waliyo nayo pamoja na Juhudi ya kufanyakazi kiubunifu kwa kuongozwa na sera za kisiasa zinazoeleweka. Mwalimu aliwahi kusema kwamba ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, watu, Ardhi, Siasa safi na uongozi bora.
Kwa hali yoyote ile "Maendeleo" tuliyonayo inawezekana kabisa hayalingani na miaka ya Uhuru wa nchi yetu pamoja na idadi ya watu iliyopo. Ukitaka kuona ni kwa kiwango gani tuna umaskini angalia kiwango cha huduma za kijamii zinazotolewa kwa watanzania.
Ukiangalia miundombinu ya Afya, Elimu,Usafiri na usafirishaji,sayansi na teknolojia pamoja na mifumo ya kuendeshea mambo yetu jinsi ilivyo, bila ya shaka kuna ishara kwamba kama taifa bado tupo nyuma kimaendeleo.
Kama taifa tatizo letu ni lipi hadi hatua za maendeleo tunazozipiga inakuwa kama vile tunatembea kwa mwendo wa Konokono?
nakupata, ninachosema mimi economic transformation ilifuatiwa na Birth control.mitale na midimu hoja ya Barbarosa ina mashiko kwani kama mnazaliana kwa wingi wakati mnachokizalisha hakilingani na kasi ya maendeleo mliyonayo, basi lazima kutakuwa na tatizo. China na India tofauti yetu na wao ni ukubwa wa nchi. Jee ukubwa wa Tanzania unalingana na nchi hizo. Maana pikipiki uwezo wake ni kubeba watu wawili ikibeba watatu itakuwa imezidisha, lakini basi la kubeba abiria 56 likiwa na watu watatu ni kwamba basi limekosa abiria.
Marekani hushangaa wewe unashindwaje kuendelea wakati maelfu na mamilioni ya wahamiaji haramu wakikanyaga marekani ghafla wanakuwa matajiri. Marekani ina wahamiaji haramu milioni 47 ambao wamepora ajira na fursa za wamarekani wazawa wavivu hasa afro americansHuko Marekani unaposema wasio na ajira wakifikia asilimia 10 tu inakuwa mshike mshike. Kama suala ni maendeleo binafsi ni kwa nini basi tunakuwa na serikali?
Tafuta kitabu kinachoitwa "How Europe Underdeveloped Africa" kilichoandikwa na Walter Rodney utapata jibu.Taifa huendelezwa na watu wake kwa kutumia maarifa waliyo nayo pamoja na Juhudi ya kufanyakazi kiubunifu kwa kuongozwa na sera za kisiasa zinazoeleweka. Mwalimu aliwahi kusema kwamba ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, watu, Ardhi, Siasa safi na uongozi bora.
Kwa hali yoyote ile "Maendeleo" tuliyonayo inawezekana kabisa hayalingani na miaka ya Uhuru wa nchi yetu pamoja na idadi ya watu iliyopo. Ukitaka kuona ni kwa kiwango gani tuna umaskini angalia kiwango cha huduma za kijamii zinazotolewa kwa watanzania.
Ukiangalia miundombinu ya Afya, Elimu,Usafiri na usafirishaji,sayansi na teknolojia pamoja na mifumo ya kuendeshea mambo yetu jinsi ilivyo, bila ya shaka kuna ishara kwamba kama taifa bado tupo nyuma kimaendeleo.
Kama taifa tatizo letu ni lipi hadi hatua za maendeleo tunazozipiga inakuwa kama vile tunatembea kwa mwendo wa Konokono?
Sababu ni hizi zifuatazoTaifa huendelezwa na watu wake kwa kutumia maarifa waliyo nayo pamoja na Juhudi ya kufanyakazi kiubunifu kwa kuongozwa na sera za kisiasa zinazoeleweka. Mwalimu aliwahi kusema kwamba ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, watu, Ardhi, Siasa safi na uongozi bora.
Kwa hali yoyote ile "Maendeleo" tuliyonayo inawezekana kabisa hayalingani na miaka ya Uhuru wa nchi yetu pamoja na idadi ya watu iliyopo. Ukitaka kuona ni kwa kiwango gani tuna umaskini angalia kiwango cha huduma za kijamii zinazotolewa kwa watanzania.
Ukiangalia miundombinu ya Afya, Elimu,Usafiri na usafirishaji,sayansi na teknolojia pamoja na mifumo ya kuendeshea mambo yetu jinsi ilivyo, bila ya shaka kuna ishara kwamba kama taifa bado tupo nyuma kimaendeleo.
Kama taifa tatizo letu ni lipi hadi hatua za maendeleo tunazozipiga inakuwa kama vile tunatembea kwa mwendo wa Konokono?
The National average IQ is below 50! So sad!Taifa huendelezwa na watu wake kwa kutumia maarifa waliyo nayo pamoja na Juhudi ya kufanyakazi kiubunifu kwa kuongozwa na sera za kisiasa zinazoeleweka. Mwalimu aliwahi kusema kwamba ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, watu, Ardhi, Siasa safi na uongozi bora.
Kwa hali yoyote ile "Maendeleo" tuliyonayo inawezekana kabisa hayalingani na miaka ya Uhuru wa nchi yetu pamoja na idadi ya watu iliyopo. Ukitaka kuona ni kwa kiwango gani tuna umaskini angalia kiwango cha huduma za kijamii zinazotolewa kwa watanzania.
Ukiangalia miundombinu ya Afya, Elimu,Usafiri na usafirishaji,sayansi na teknolojia pamoja na mifumo ya kuendeshea mambo yetu jinsi ilivyo, bila ya shaka kuna ishara kwamba kama taifa bado tupo nyuma kimaendeleo.
Kama taifa tatizo letu ni lipi hadi hatua za maendeleo tunazozipiga inakuwa kama vile tunatembea kwa mwendo wa Konokono?
Maskini wengi marekani ni weusi sio wazungu. Wanaoishi kwa kutegemea serikali na welfare donation marekani majority ni afro Americans.kazi ya serikali si kumwezesha mtu binafsi asiyejua kutumia ubongo wake kuona fursa zilizopo na kuzitumia awe Tanzania au marekani au ulayaHuko Marekani unaposema wasio na ajira wakifikia asilimia 10 tu inakuwa mshike mshike. Kama suala ni maendeleo binafsi ni kwa nini basi tunakuwa na serikali?