Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,946
- 51,094
Tena mara nyingi unajinasibu kwamba unajua mambo ya uchumi, hivi kuendelea ni kuendelea tu bila hata kuwa na vigezo vya kupima hayo maendeleo? Hivi hakuna sababu ya sisi kuitwa nchi za dunia ya tatu ama nchi maskini duniani?Mimi nadhani tunaendelea. Dunia inaendelea kwa hiyo na watanzania tunaendelea.
Maendeleo ni term vague sana na mijadala yake huwa haina mwisho. nakupa angalizo tu.Tena mara nyingi unajinasibu kwamba unajua mambo ya uchumi, hivi kuendelea ni kuendelea tu bila hata kuwa na vigezo vya kupima hayo maendeleo? Hivi hakuna sababu ya sisi kuitwa nchi za dunia ya tatu ama nchi maskini duniani?
Mfano ili ujue mtoto wako anakuwa si lazima kuwe na vigezo vya kupima ukuaji. Ongezeko la miaka, ukuaji wa mwili, uimarikaji wa akili, mabadiliko ya mwili na kadhalika. Yaani sisi tuendeleka kwa kuona kwamba tulikuwa na barabara mbili sasa tunazo saba bila kuwa na kipimo kuwa zinatakiwa barabara ngapi?
Taifa huendelezwa na watu wake kwa kutumia maarifa waliyo nayo pamoja na Juhudi ya kufanyakazi kiubunifu kwa kuongozwa na sera za kisiasa zinazoeleweka. Mwalimu aliwahi kusema kwamba ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, watu, Ardhi, Siasa safi na uongozi bora.
Kwa hali yoyote ile "Maendeleo" tuliyonayo inawezekana kabisa hayalingani na miaka ya Uhuru wa nchi yetu pamoja na idadi ya watu iliyopo. Ukitaka kuona ni kwa kiwango gani tuna umaskini angalia kiwango cha huduma za kijamii zinazotolewa kwa watanzania.
Ukiangalia miundombinu ya Afya, Elimu,Usafiri na usafirishaji,sayansi na teknolojia pamoja na mifumo ya kuendeshea mambo yetu jinsi ilivyo, bila ya shaka kuna ishara kwamba kama taifa bado tupo nyuma kimaendeleo.
Kama taifa tatizo letu ni lipi hadi hatua za maendeleo tunazozipiga inakuwa kama vile tunatembea kwa mwendo wa Konokono?
Ni kweli mkuu ukila wali maharage, tumbo likajaa kama gozi la football ndio maendeleo hayo,Mimi nadhani tunaendelea. Dunia inaendelea kwa hiyo na watanzania tunaendelea.
Najua na kuendelea kuko kwa aina nyingi, hata hivyo Sisi tumeendelea kwenye nini? Kwa mfano kiuchumi Marekani imeendelea sana, lakini kwa utowaji wa huduma za jamii kwa wananchi, Sweden imeendelea kuliko Marekani. Sisi maendeleo yetu yapo kwenye nini?Maendeleo ni term vague sana na mijadala yake huwa haina mwisho. nakupa angalizo tu.
Watanzania wanalipa kodi tena sana lakini wachache wana fuga nyoka wa makengeza wengine kodi wanazifanya hela za mboga wengine wanazigereja zingine wanawabatiza wenzao kuwa ni tumbili na malofa sasaunategemea nini wacha kabisa kuwakejeli watanzani wewe au na wewe ni mmoja wao akina eskrooTEGESHAVyote ulivyotaja elimu,afya,miundombinu vinahitaji hela...kama kodi hatulipi vitatoka wapi??
Nitajie nchi moja iliyoendelea ambayo watu hawalipi kodi kama Tanzania...
Taifa huendelezwa na watu wake kwa kutumia maarifa waliyo nayo pamoja na Juhudi ya kufanyakazi kiubunifu kwa kuongozwa na sera za kisiasa zinazoeleweka. Mwalimu aliwahi kusema kwamba ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, watu, Ardhi, Siasa safi na uongozi bora.
Kwa hali yoyote ile "Maendeleo" tuliyonayo inawezekana kabisa hayalingani na miaka ya Uhuru wa nchi yetu pamoja na idadi ya watu iliyopo. Ukitaka kuona ni kwa kiwango gani tuna umaskini angalia kiwango cha huduma za kijamii zinazotolewa kwa watanzania.
Ukiangalia miundombinu ya Afya, Elimu,Usafiri na usafirishaji,sayansi na teknolojia pamoja na mifumo ya kuendeshea mambo yetu jinsi ilivyo, bila ya shaka kuna ishara kwamba kama taifa bado tupo nyuma kimaendeleo.
Kama taifa tatizo letu ni lipi hadi hatua za maendeleo tunazozipiga inakuwa kama vile tunatembea kwa mwendo wa Konokono?
Hoja yako ina mashiko, lakini tunatumiaje Takwimu za sensa tunazozikusanya kila baada ya miaka kumi katika kupanga mipango yetu ya kimaendeleo?Jibu ni rahisi, tunazaana sana kama Sungura, ukitaka uone tofauti basi tupunguze kuzaliana, kwa sasa hvi kila Mwanake wa Kitanzania anapata kwa wastani watoto 5.6, wkt nchi zilizoendela ni 1.2-2!
Na hili utaliona kila mahali kwa mfano, kama maendeleo Jiji letu la Dar iliyonayo leo hii kama lingebakia kuwa na wakazi chini ya milioni 1, basi hali ingekuwa bora kwa kila mtu lkn tunakaribia milioni 5 matokeo yake shule hazitoshi, Maji hayatoshi, Barabara zinazidiwa kazi hakna za kila mtu, ...
Hoja yako ina mashiko, lakini tunatumiaje Takwimu za sensa tunazozikusanya kila baada ya miaka kumi katika kupanga mipango yetu ya kimaendeleo?
Unadhani ni sawa kwa mfano una watoto kumi na una chumba kimoja tu cha kuishi, na utetezi wako kwamba umeendelea kwa kuwa ulikuwa huna "Flat Screen tv" na sasa unayo?Taifa linaendelea taratibu,sio hatuendelei.
1970 sio sawa na 2017.
Philips X2560
Idadi ya wasomi imeongezeka sanaNajua na kuendelea kuko kwa aina nyingi, hata hivyo Sisi tumeendelea kwenye nini? Kwa mfano kiuchumi Marekani imeendelea sana, lakini kwa utowaji wa huduma za jamii kwa wananchi, Sweden imeendelea kuliko Marekani. Sisi maendeleo yetu yapo kwenye nini?
Maendeleo maana yake nini? Kama ulikuwa hata umeme huna, sasa hivi unawasiliana na watu wa nchi za nje kirahisi hayo siyo maendeleo? Au unataka maendeleo yapi? Lazima uwe specific.Ni kweli mkuu ukila wali maharage, tumbo likajaa kama gozi la football ndio maendeleo hayo,
Acha tuendeleee kusindikiza maendeleo
vipi china hawakuwahi kuzaliana sana? india vipi?Jibu ni rahisi, tunazaana sana kama Sungura, ukitaka uone tofauti basi tupunguze kuzaliana, kwa sasa hvi kila Mwanake wa Kitanzania anapata kwa wastani watoto 5.6, wkt nchi zilizoendela ni 1.2-2!
Na hili utaliona kila mahali kwa mfano, kama maendeleo Jiji letu la Dar iliyonayo leo hii kama lingebakia kuwa na wakazi chini ya milioni 1, basi hali ingekuwa bora kwa kila mtu lkn tunakaribia milioni 5 matokeo yake Shule hazitoshi, Maji hayatoshi, Hospitali hazitoshi, Barabara zinazidiwa kazi hakuna, matokeo yake tunawaza Rooney na everton usikua na mchana, ...
Maendeleo Ya taifa ni hesabu za kujumlisha za maendeleo ya watu binafsi katika taifa development is a summation of individual development in a nation jiulize wewe binafsi na familia yako Na ukoo wako kwa Nini hamjaendelea mko choka mbayaTaifa huendelezwa na watu wake kwa kutumia maarifa waliyo nayo pamoja na Juhudi ya kufanyakazi kiubunifu kwa kuongozwa na sera za kisiasa zinazoeleweka. Mwalimu aliwahi kusema kwamba ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, watu, Ardhi, Siasa safi na uongozi bora.