Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.
Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.
Nahitimisha kwa kutoa wito kuwa washughulikiwe katika ngazi ya chama
Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.
Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.
Nini maoni yako!