Sasa Bajabiri kwani unataka kusema hawakuwa wanataka kwenda Ikulu??Je kule walikuwa wanamfaata nani??kwakuwa Rais hakuwepo,Waziri Mkuu hakuwepo je ninani walikuwa wanamfaata??hakuna muislam alotaka kufika ikulu kuchukua nchi,,,,wewe mwenye elim pia haijakusaidia,waislam walisema wanataka ikulu???kwana ni mara ya kwanza kwa watanzania wa nchi hii kuandamana kwenda ikulu????
Kumbe hata matukio yanayotokea nchi hii huyajui MBWIGA WEWE
Tafadhali! wenye nchi ni Watanzania. Majeshi hayo tumeyapa majukumu ya kutulinda(Katiba). JWTZ lina mandate yake ukiona limeingilia kazi ya polisi inamaana polisi wameonekana dhaifu (kama unavyojua hawachukui hatua yoyote kwa wahalifu/wahujumu nchi).JWTZ ndio wenye nchi ! Amani inapo-potea lazima waingie kazini! KUVUKILAND IS VERY FAR . . OR . . CLOSE?
waliandika kwenye Vitabu Vitakatifua kuwa "haya yakishajiri basi na mwenye macho na aone".Juzi tulishuhudi Magari ya Kijeshi yakiwa yamebeba wanajeshi yakirandaranda mtaani kwa nia ya kudhibiti vurugu za waislamu!Lakini swali nikwamba Jeshi la polise limeanza kuingiwa baridi na kuomba Manpower??Maana Kamanda kova aliuliswa na BBC kuhusu jeshi kuhusika kudhibiti vurugu akakana kwa kusema hajui kama na wao walikuwa kwenye hiyo operation ila yeye anasemea upande wapolisi!!!
Mimi nauliza je tumefikia hapo??Inamaana uwezo wa polisi wamefikia hapo!?
Juzi tulishuhudi Magari ya Kijeshi yakiwa yamebeba wanajeshi yakirandaranda mtaani kwa nia ya kudhibiti vurugu za waislamu!Lakini swali nikwamba Jeshi la polise limeanza kuingiwa baridi na kuomba Manpower??Maana Kamanda kova aliuliswa na BBC kuhusu jeshi kuhusika kudhibiti vurugu akakana kwa kusema hajui kama na wao walikuwa kwenye hiyo operation ila yeye anasemea upande wapolisi!!!
Mimi nauliza je tumefikia hapo??Inamaana uwezo wa polisi wamefikia hapo!?[/QUOTE]
Jeshi letu la Polisi are much more professional kwa kubambikia watu kesi, extra judicial killings na kuikandamiza Chadema kwa bahati mbaya hawana kubwa la kujisifia katika jukumu lao la msingi: Kulinda wananchi na mali zao.
kwanini wasimfanye ponda kama aboud rogo wa mombasa? watu tuna mambo mengi ya kimaendeleo ya kufanyakundi la Ponda lina link na al shabaab na inteliensia ilipata hii taaarifa ndio maana jeshi likaingia kazini kuhakikisha hakuna mvaa pedo anayeigusa ikulu
Ijayo ni zamu ya mvuruga amani Dr Sinaraha aka Thaa ala Slaa. Atachapika na wajeshi si anajifanya kamanda tutaona. This time TPDF hawana mashala.