Kila kitu kinaelea mkuu, jua, dunia, sayari nyingine, vyote vinaelea angani.
Kuna nguvu ya mvutano katika kila kitu ulimwenguni, vitu vyenye mass (kg) kubwa huvutana kwa nguvu zaidi ya vyenye mass ndogo.
Alafu nategemea unajua kua dunia ndio inalizunguka jua na sio jua kuzunguka dunia. Kama unataka maelezo zaidi ya jinsi mambo yalivyo uliza, ni mada ndefu sana kuielezea.