Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.
Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.
Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomo kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.
Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.
Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.
Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Walitoka maoni yyale hawakusema lisije gwe.
Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini.
Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Msukuma anaponda elimu ya kibongo ila hapondi unachokiandika maana vyote hivo havijatengenezwa na elimu hii ya kukariri matundu ya panzi.Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.
Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.
Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomo kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.
Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.
Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.
Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Walitoka maoni yyale hawakusema lisije gwe.
Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini.
Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Ni Kweli kabisaTatizo wasomi wanataka kutambulika kwa usomi wao wa kukariri maandishi na theory kuwa ndio taaluma, elimu ya Tanzania haina inachomsaidia kabisa...kiufupi ni kupoteza muda huko kunakoitwa shuleni to vyuoni...watu hawajifunzi vitu vinavyohitajika katika mazingira yao ya kileo...ila kumezeshwa majitu mengi ya hovyo yasiyokuwa na uhalisia wa maisha ya leo...hawawezi kutatua changamoto za leo halafu wanataka kuheshimiwa....kwa lipi hasa....inachukiza...namuunga mkono mdau.
Hakukuridhisha sasa umekuja kumwanika huku?Kwasababu ana kibamia
Ana goviHakukuridhisha sasa umekuja kumwanika huku?
Kwa hiyo watoto wasipelekwe shule. Hii miundombinu imejengwa na nani? Na tunguli?Tatizo wasomi wanataka kutambulika kwa usomi wao wa kukariri maandishi na theory kuwa ndio taaluma, elimu ya Tanzania haina inachomsaidia kabisa...kiufupi ni kupoteza muda huko kunakoitwa shuleni to vyuoni...watu hawajifunzi vitu vinavyohitajika katika mazingira yao ya kileo...ila kumezeshwa majitu mengi ya hovyo yasiyokuwa na uhalisia wa maisha ya leo...hawawezi kutatua changamoto za leo halafu wanataka kuheshimiwa....kwa lipi hasa....inachukiza...namuunga mkono mdau.
Alikupelekea moto ukakionaKwasababu ana kibamia