Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Kwahili naweza kumtetea JK kwamba hakubaliki na hii ni kutokana na yanayoendela katika shirikisho, ikumbukweTanganyika inaonekana kama lulu miongoni mwa nchi za ukanda huu wa Afrika Mashariki, sasa kwa hayo yaliyojiri juzi kati wakati wa utiaji sign wa mkataba ambapo Tanganyika chini ya Samweli Sita waligoma mpaka baadhi ya vipengele vilipowekwa sawa umewakasirisha hawa jamaa!
walitegemea turuhusu ardhi yetu iwe yao, siasa na hata majeshi kitu ambacho kingetugharimu
Nimshukuru binafsi kwa mara ya kwanza JK kwa kutowapa vilaza hii wizara ya Afrika Mashariki maana naamini wangekuwa ni Malima,Kombani,Ngeleja, Nchimbi,Sofia simba, wamekamata hii wizara wangesign haraka haraka maana ni vihiyo watupu
Nimshukuru binafsi kwa mara ya kwanza JK kwa kutowapa vilaza hii wizara ya Afrika Mashariki maana naamini wangekuwa ni Malima said:Hahahahaaaaa nimeienda hiii.......Ila umewasau vihiyo wengine....!!!!
Nimshukuru binafsi kwa mara ya kwanza JK kwa kutowapa vilaza hii wizara ya Afrika Mashariki maana naamini wangekuwa ni Malima said:Hahahahaaaaa nimeienda hiii.......Ila umewasau vihiyo wengine....!!!!
kama hatuamini juu ya malengo ya EAC si tujitoe tu kulikoni kuwakwamisha wale wanaotaka kwenda mwendo mdundo.......
Nakushauri ufikiri sana hatma ya nchi yako miaka ijayo kabla ya kumlaumu Jk na Sitta katika suala la EAC hasa masula ya ardhi. Kumbuka ni 2015 Jk atamaliza kipind4 chake. Ungependa mrithi wake na wanao na wajukuu wagombee ardhi ya Nchi yao wenyewe na wakenya?tatizo kwako huelewi ya kuwa uhuru maana yake ni kufuta urithi wa mkoloni ikiwemo mipaka aliyotuwekea.....................mkoloni alitugawa ili atutawale...............................hivi yawaje akija kaburu kutoka sauzi anapewa ardhi ambayo wewe unadai ni lulu...............................ululu huo uko wapi wakati umasikini wazidi kushamiri.....................sana sana watetea ubinafswi ambao hautupeleki popote.....................yawaje inap[okuja EAC tujione ni lulu lakini kwa wazenji tujione hatuna maana hata kuona aibu kujiita jina stahili la watanganyika?????????????
Hizi ni enzi za think globally act locally. To think locally and act locally is a sure recipe for disaster.
Nakushauri ufikiri sana hatma ya nchi yako miaka ijayo kabla ya kumlaumu Jk na Sitta katika suala la EAC hasa masula ya ardhi. Kumbuka ni 2015 Jk atamaliza kipind4 chake. Ungependa mrithi wake na wanao na wajukuu wagombee ardhi ya Nchi yao wenyewe na wakenya?
kama hatuamini juu ya malengo ya EAC si tujitoe tu kulikoni kuwakwamisha wale wanaotaka kwenda mwendo mdundo.......
tatizo kwako huelewi ya kuwa uhuru maana yake ni kufuta urithi wa mkoloni ikiwemo mipaka aliyotuwekea.....................mkoloni alitugawa ili atutawale...............................hivi yawaje akija kaburu kutoka sauzi anapewa ardhi ambayo wewe unadai ni lulu...............................ululu huo uko wapi wakati umasikini wazidi kushamiri.....................sana sana watetea ubinafswi ambao hautupeleki popote.....................yawaje inap[okuja EAC tujione ni lulu lakini kwa wazenji tujione hatuna maana hata kuona aibu kujiita jina stahili la watanganyika?????????????
jk ni kilaza no moja east africa'lakini kama ukilaza wake ndio huo wa kutetea mipaka naunga mkono'jk ameona sisi bado kuchuana na wakenya'ebu tuachie kizazi kijacho tuone watafanya nini
jina lako 2 linatia shaka uraia wako,2napaswa kumpa hongera JK kwa kulinda ardhi ye2,nadhan unataka 2wape ardhi waganda kisa na wewe una hasili ya Uganda?
jina lako 2 linatia shaka uraia wako,2napaswa kumpa hongera JK kwa kulinda ardhi ye2,nadhan unataka 2wape ardhi waganda kisa na wewe una hasili ya Uganda?
jibu hapo ni kujitoa tu..............na kuacha unafiki kuwa tunataka kuanzisha shirikisho la eac.........................wazungu wana msemo usemao..........."If you can not handle the heat stay out of the kitchen."
Wewe una asili ya kitusi'wote humu ndani tunakujua kwa hilo'sisi hatupo tayari kuungana na nyie kwa sasa'tuna mambo mengi ya kutengeneza ndani ya nchi yetu'hata nyie mna mengi ya kutengeneza hasa kufundisha watu wenu kuacha kuuana kwa mapanga'give us chance pleaseee
vipi makaburu mbona huwaongelei.......................au kwa vile huhona mapesa kibao kupata hiyo ardhi?.............angalia mbona mashimo yote ya madini tumemilikisha wazungu......................au ni kheri mzungu akitunyonya kulikoni tukinyonywa na wamatumbi wenzetu?????????????????