Shida hua inakua binti kaanza kuboa, mi nikwambie ukweli tu kuna mabinti wanaboa, hasa mabinti wa kibongo, wana mapenzi fulani ya ovyo-ovyo sana, hawaishi kama wao bali wanataka kuiga mapenzi wanayoyaona kwenye TV, mtu unaniandikia meseji una-quote maneno wimbo flani, kama sitokuona mshamba ni nini? unakutana na mimi unataka tuwe kama flani uliyemuona kwenye tamthilia flani, unadhani sitokuchoka? Sijawahi kua na binti wa kitanzania akawa ana act natural, afu kukaa na kufundishwa mapenzi na marafiki kufatafata mkumbo, yani mabinti wa kibongo wana matatizo mengi kinoma ambayo mimi in general at first wakati namtambua mtu anajibu sincerely ila mkisha kua wapenzi anamapenzi ya ovyo ovyo, hua naboreka i give up quickly, najua utofauti maana nimekua na binti wa nje pia na sio moja.. Alafu tatizo mabinti wengi hufunua sana, mapenzi sio ngono, mbona muda wa ngono utakuwepo tu, sasa mtu anafunua kila mkionana, afu bado anataka afanye kama anavyoona kwenye po.rn na sio natural, binti wa hivi kwa mwanaume moja kwa moja anaonekana kicheche tu, atachukuliwa kama wa starehe afu baada ya muda kushnehi, na kuna yale mapozi flani ya binti unakuta analeta mapoz maksudi kabisa, fanya hivi hataki, hivi hataki, sasa at first inaweza ikawa sawa ila ikiwa kila siku inafika time inaboa vilevile since hata kama ntakuachia kila siku at least for once do as i ask evn if ts boring u, kwani c ndio love, we sacrifice both sides, afu sijui ila ukweli wangu toka moyoni kwa binti wa kibongo sijawahi ona ile love ya natural zaidi ya ile ya ku-act... Sisemi mabinti wote wa kibongo wako hivyo, hapana maana sijatembea na mabinti 100 mimi, na hata wavulana wengi wanataka act za kwenye tv pia kwa hiyo sio mabinti muumie tu... Kwa nini nime-concentr8 sana kwenye kuongelea TV stfz, TV hua zinabadilika, sasa leo nikiona mapenzi haya kwenye TV na ukanipatia the same, nitaona mengine haya nitayachoka nitataka kitu tofauti na hicho nitatafta kwingine, kama una update antivirus vile umenisoma dada??? Maoni yangu jamani sio nianze kupewa critics utasema ndio nime-conclude kwa wanaume wengine hapana, hayo ni yangu na jinsi navyoona mimi