Kwanini iwe Kagame Cup?

Kwanini iwe Kagame Cup?

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,898
nimekuwa nikijiuliza, faida ya kagame cup ni nini?ni kumtukuza rais kagame au ni kwasababu africa mashariki na kati hakuna watu wengine wenye uwezo wa kuweka kombe kama alivyofanya kagame?

kwanini tunaliita kagame cup? huyo jamaa amekuwa adui wa watanzania kwa kitambo kwanini bado tunamtukuza adui aliyesema atamvizia rais wetu amtwange? watz kwanini tusiwaache kabisa hao na kombe lao la kagame na musyonye?

kwanini lisibadilishwe jina badala ya kuitwa kagame cup liitwe jina lolote linalohusiana na East and central africa?au pamoja na the horn of africa?

kwanini tunamtukuza kagame ambaye anazo allegation nyingi sana za mauaji ya wapinzani wake pamoja yaliyojiri hadi kufikia genocide Rwanda? kwanini tusibadilishe kabisa jina hili, kajamaa kametutawala?

kama ni mpira wa africa mashariki wote, tunatakiwa kubadilisha jina. zaidi sana angekuwa anatoa hela nyingi tungesema sijui, sasa mshindi wa kwanza anapata dola alfu 30 tu (ambazo manji anao uwezo kutoa mil. 100 watu waingie yanga bure),....
 
nimekuwa nikijiuliza, faida ya kagame cup ni nini?ni kumtukuza rais kagame au ni kwasababu africa mashariki na kati hakuna watu wengine wenye uwezo wa kuweka kombe kama alivyofanya kagame? kwanini tunaliita kagame cup? huyo jamaa amekuwa adui wa watanzania kwa kitambo kwanini bado tunamtukuza adui aliyesema atamvizia rais wetu amtwange? watz kwanini tusiwaache kabisa hao na kombe lao la kagame na musyonye? kwanini lisibadilishwe jina badala ya kuitwa kagame cup liitwe jina lolote linalohusiana na East and central africa?au pamoja na the horn of africa? kwanini tunamtukuza kagame ambaye anazo allegation nyingi sana za mauaji ya wapinzani wake pamoja yaliyojiri hadi kufikia genocide Rwanda? kwanini tusibadilishe kabisa jina hili, kajamaa kametutawala? kama ni mpira wa africa mashariki wote, tunatakiwa kubadilisha jina. zaidi sana angekuwa anatoa hela nyingi tungesema sijui, sasa mshindi wa kwanza anapata dola alfu 30 tu (ambazo manji anao uwezo kutoa mil. 100 watu waingie yanga bure),....
halafu hela ni kidogo sana.
 
Linaweza vilevile kuitwa AZUSA STREET cup kama ukitoa hela ya maana (sponsorship)
 
Musonye kaka pesa tayari. Lakini kesho Tu tunaweza ita Mkwawa cup,Kenyata cup,Nyerere cup au hata Azusa cup. Worry not mkuu!
 
Toeni hela afu ndo mlalamike. Wapi Ngasa timu yako imechukua ubingwa wewe unaendelea kula kuba Dar-Pemba-Uguja.
 
nimekuwa nikijiuliza, faida ya kagame cup ni nini?ni kumtukuza rais kagame au ni kwasababu africa mashariki na kati hakuna watu wengine wenye uwezo wa kuweka kombe kama alivyofanya kagame? kwanini tunaliita kagame cup? huyo jamaa amekuwa adui wa watanzania kwa kitambo kwanini bado tunamtukuza adui aliyesema atamvizia rais wetu amtwange? watz kwanini tusiwaache kabisa hao na kombe lao la kagame na musyonye? kwanini lisibadilishwe jina badala ya kuitwa kagame cup liitwe jina lolote linalohusiana na East and central africa?au pamoja na the horn of africa? kwanini tunamtukuza kagame ambaye anazo allegation nyingi sana za mauaji ya wapinzani wake pamoja yaliyojiri hadi kufikia genocide Rwanda? kwanini tusibadilishe kabisa jina hili, kajamaa kametutawala? kama ni mpira wa africa mashariki wote, tunatakiwa kubadilisha jina. zaidi sana angekuwa anatoa hela nyingi tungesema sijui, sasa mshindi wa kwanza anapata dola alfu 30 tu (ambazo manji anao uwezo kutoa mil. 100 watu waingie yanga bure),....

Azam watakubali kuacha kimbelembele?
 
Huyo mchezaji TRAORE wa ELMERECK anastahili awe anacheza ligi kuu ya Englandi sijui huku anatafuta nini. Yanga , Simba na Azam Zenye mabilioni zijifunze kufanya usajili kama hii timu ya sudani sio kwenda kuokota SCRAPER huko HYTI. BRAZIL na KENYA
 
Sababu ni kwamba Kagame ni super president east and central Africahiyo inaweza kuwa sababuwelfae ya watu wa rwand na infrastructure ni superb. hivyo anastahili mkuu. Linalofuata napendekeza liitwe Kombe la Kenyata naye anajitahidi
 
wivu mbaya sana! azamu inakuuma sana, lakini huna jinsi na utabaki na uswahili wako! mwambie tajiri yako manji adhamini hiyo kagame cup ili mbadili jina, hater!

Iniume nini wakati Azam wametolewa kwenye mashindano? Ni kweli iliniuma sana mlipopewa nafasi yetu kwa misingi ya kifisadi, nikaendelea kuumia pia mlipokuwa mkisonga mbele hadi robo fainali; hapo mlipotolewa nilipata raha isiyo kifani! Hadi sasa naendelea kwenye furaha kila nikimkumbuka mchezaji wenu aliyepeleka ile penati mikononi mwa golikipa wa El-Merreikh.
 
nimekuwa nikijiuliza, faida ya kagame cup ni nini?ni kumtukuza rais kagame au ni kwasababu africa mashariki na kati hakuna watu wengine wenye uwezo wa kuweka kombe kama alivyofanya kagame?

kwanini tunaliita kagame cup? huyo jamaa amekuwa adui wa watanzania kwa kitambo kwanini bado tunamtukuza adui aliyesema atamvizia rais wetu amtwange? watz kwanini tusiwaache kabisa hao na kombe lao la kagame na musyonye?

kwanini lisibadilishwe jina badala ya kuitwa kagame cup liitwe jina lolote linalohusiana na East and central africa?au pamoja na the horn of africa?

kwanini tunamtukuza kagame ambaye anazo allegation nyingi sana za mauaji ya wapinzani wake pamoja yaliyojiri hadi kufikia genocide Rwanda? kwanini tusibadilishe kabisa jina hili, kajamaa kametutawala?

kama ni mpira wa africa mashariki wote, tunatakiwa kubadilisha jina. zaidi sana angekuwa anatoa hela nyingi tungesema sijui, sasa mshindi wa kwanza anapata dola alfu 30 tu (ambazo manji anao uwezo kutoa mil. 100 watu waingie yanga bure),....
yani watu wengine wanaroho kama za mama wa kambo,unakumbuka hiki kikombe kabla hakijaitwa kagame cup kilikua kimefifia kabisa kutokana na kukosa pesa/udhamini,na maraisi na matajiri katika EAC walikuwepo lakini hakuna hata mmoja aliyejitokeza kusaidia akiwemo na wewe,sasa kuitwa kagame cup nafikiri ni kwasababu yeye ndiye mdhamini na ili waweze ku sustain huo udhamini nafikiri waliamua hilo kombe liitwe kagame cup,sasa tuseme huo ni wivu au roho mbaya tu! kwani hata haya marumbano na chuki dhidi ya pk ni mambo kama haya na yanayo sambazwa na watu kama nyie..kunatatizo gani kudhamini kitu na kuitwa jina lako?
 
kisa kagame kulipa washindi yanga walizulumiwa pesa ya ushindi milioni 20 mwaka uliofatia mashindano yalifanyika rwanda ikabidi kagame kutoa hela za washindi

my take tuiulize cecafa na musonye chama kina shs ngapi mpaka sasa?
 
Stupidity is an art. The guy is a killer and yet the football associations of the original CECAFA are unmoved. People are just looking in front of their noses.
 
Huyo mchezaji TRAORE wa ELMERECK anastahili awe anacheza ligi kuu ya Englandi sijui huku anatafuta nini. Yanga , Simba na Azam Zenye mabilioni zijifunze kufanya usajili kama hii timu ya sudani sio kwenda kuokota SCRAPER huko HYTI. BRAZIL na KENYA
Dah huyu jamaa traore ni noma sana aisee
 
Iniume nini wakati Azam wametolewa kwenye mashindano? Ni kweli iliniuma sana mlipopewa nafasi yetu kwa misingi ya kifisadi, nikaendelea kuumia pia mlipokuwa mkisonga mbele hadi robo fainali; hapo mlipotolewa nilipata raha isiyo kifani! Hadi sasa naendelea kwenye furaha kila nikimkumbuka mchezaji wenu aliyepeleka ile penati mikononi mwa golikipa wa El-Merreikh.
basi endelea kuumia! mlifikiri mkidengua mtabembelezwa kama zamani!? huo muda umepita! mwaka juzi mlidanganyana na mbabaishaji membe eti sudan hakuna amani watu wakaenda na wakacheza wakarudi salama na safari mkaleta tena mapozi mkafikiri watawabembeleza, olaah! watu wamecheza na mshindi amepatikana! sasa endelea kuumia na azam itaendelea kusonga mbele na mpira wenu wa magazetini!
 
Kwa azam ipi ile ya bakheresa au ya mtaani kwenu inayoendelea!!
 
hapana, ile ya mtaani kwenu! yanga na simba timu za magumashi tu! wanachama wake (kama wewe na Makoye Matale) na viongozi wao wote magumashi! eti kiongozi anayestaafu anatamba mbele ya wanachama kuwa amewaachia shillingi 400m/= benki haujapita hata mwezi aliyempokea anasema hajaachiwa kitu! ptuu, wanachama wa yanga na simba mna akili kama za nyumbu!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom