Tsidikeu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 1,312 Reaction score 890 Oct 27, 2015 #21 Tanzania Njema Yaja said: Walikatiza kujiunga na tume bana maana hatujui majimbo gani yangefuata..... Click to expand... Waligundua mchezo flani unaoendelea ndio maana wakaona ni vyema wayafuate jikoni...HONGERA ITV
Tanzania Njema Yaja said: Walikatiza kujiunga na tume bana maana hatujui majimbo gani yangefuata..... Click to expand... Waligundua mchezo flani unaoendelea ndio maana wakaona ni vyema wayafuate jikoni...HONGERA ITV
M middy issack Member Joined Sep 17, 2015 Posts 65 Reaction score 9 Oct 27, 2015 #22 Unaumiza kicha nini siuangalie chanel yenu ya kijani na njano(....)
Bandiwe JF-Expert Member Joined Oct 19, 2013 Posts 9,530 Reaction score 3,556 Oct 27, 2015 #23 BASHITE said: sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu? Click to expand... Tv ya wachaga !
BASHITE said: sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu? Click to expand... Tv ya wachaga !
K KALABASH JF-Expert Member Joined Jan 26, 2011 Posts 500 Reaction score 216 Oct 27, 2015 #24 BASHITE said: sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu? Click to expand... Mkuu umeuliza ni kwa nini itv wanaegemea sana Chadema? Nami nakuuliza ni kwa nini Star tv wanaegemea sana ccm?
BASHITE said: sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu? Click to expand... Mkuu umeuliza ni kwa nini itv wanaegemea sana Chadema? Nami nakuuliza ni kwa nini Star tv wanaegemea sana ccm?
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Oct 27, 2015 #25 BASHITE said: sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu? Click to expand... Nawe kaanzishe tv station yako
BASHITE said: sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu? Click to expand... Nawe kaanzishe tv station yako
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Oct 27, 2015 #26 GOOGLE said: Ukanda baba! Click to expand... Angalia tbc
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,888 Reaction score 7,079 Oct 27, 2015 #27 kwa nini TBC, star tv , channel 10 inabeba Sana ccm
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Oct 27, 2015 #28 Matola said: Huu ujinga wenu ndio maana Wachaga wamewafundisha adabu kwa vitendo mmekosa hata mbunge mmoja kwao na ni vyema mkazifunga ofisi za ccm kule na hawa kina Davis Mosha muwafukuze ccm maana ni mamluki tu wa Chadema. Click to expand... Asante sana kiongozi wape vidonge vyao hao
Matola said: Huu ujinga wenu ndio maana Wachaga wamewafundisha adabu kwa vitendo mmekosa hata mbunge mmoja kwao na ni vyema mkazifunga ofisi za ccm kule na hawa kina Davis Mosha muwafukuze ccm maana ni mamluki tu wa Chadema. Click to expand... Asante sana kiongozi wape vidonge vyao hao
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Oct 27, 2015 #29 kotelyimola said: Kwa vile Diallo anaegemea CCM, hivyo ngoma Droo Click to expand... Jibu tosha kabisa
kotelyimola said: Kwa vile Diallo anaegemea CCM, hivyo ngoma Droo Click to expand... Jibu tosha kabisa
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Oct 27, 2015 #30 Matola said: Wanataka ITV itangaze kwamba CCM yazowa majimbo Dar na yapata kura za kishindo na Meya wa JIJI atatoka CCM, na Dar siyo UKAWA CITY. Click to expand... Wamefuria hao magambaz
Matola said: Wanataka ITV itangaze kwamba CCM yazowa majimbo Dar na yapata kura za kishindo na Meya wa JIJI atatoka CCM, na Dar siyo UKAWA CITY. Click to expand... Wamefuria hao magambaz
J jtwentytwo Senior Member Joined Apr 7, 2015 Posts 194 Reaction score 26 Oct 27, 2015 #31 BASHITE said: sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu? Click to expand... kwann star tv wanaegemea sana ccm?
BASHITE said: sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu? Click to expand... kwann star tv wanaegemea sana ccm?
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Oct 27, 2015 #32 mcheshi said: itv haiendeshwi kwa kodi yako. tbc ndio ya kuhoji kwa nini inaonyesha habari za ccm tu? Click to expand... Safi sana mkuu
mcheshi said: itv haiendeshwi kwa kodi yako. tbc ndio ya kuhoji kwa nini inaonyesha habari za ccm tu? Click to expand... Safi sana mkuu
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Oct 27, 2015 #33 Kibo255 said: Watu wasioneshe uhalisia unataka waonyeshe uongo kama ccm au Click to expand... Miccm ni mijinga sana
Kibo255 said: Watu wasioneshe uhalisia unataka waonyeshe uongo kama ccm au Click to expand... Miccm ni mijinga sana
Junior Lecturer JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 913 Reaction score 584 Oct 27, 2015 #34 bashite said: sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu? Click to expand... kwa sababu ni ngome ya chadema.
bashite said: sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu? Click to expand... kwa sababu ni ngome ya chadema.
m-colour Senior Member Joined Aug 13, 2015 Posts 126 Reaction score 18 Oct 27, 2015 #35 W **** nn mbona usemi Chanel 10, star TV na TBC au unawashwa, wa2 tushavulugwa saiz na ayo matokeo yenu ya kisenge
W **** nn mbona usemi Chanel 10, star TV na TBC au unawashwa, wa2 tushavulugwa saiz na ayo matokeo yenu ya kisenge
M mwakwetu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2007 Posts 789 Reaction score 290 Oct 27, 2015 #36 Tbc na star wanaegemea wapi!
bazoka JF-Expert Member Joined Mar 18, 2013 Posts 300 Reaction score 141 Oct 27, 2015 #37 Acha ujinga wewe ushawahi kujiuliza kwanini TBC inaegemea serikali na ccm?
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 4,038 Reaction score 3,034 Oct 27, 2015 #38 l think Mengi ni team lowasa coz ukaskazini. Napendekeza ITV ibadili jina ianze kuitwa chadema TV
M mzee wa manzese JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 670 Reaction score 217 Oct 27, 2015 #39 ONTARIO said: WaTz si wapuuzi kuwapa wachagga nchi Click to expand... Hayo ndio madhara ya kuliwa kibo..ga
ONTARIO said: WaTz si wapuuzi kuwapa wachagga nchi Click to expand... Hayo ndio madhara ya kuliwa kibo..ga
AMB JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 206 Reaction score 65 Oct 27, 2015 #40 BASHITE said: sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu? Click to expand... Zima TV yako kisha uiwashe, fanya hivyo mara 3 itaonyesha CCM!
BASHITE said: sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu? Click to expand... Zima TV yako kisha uiwashe, fanya hivyo mara 3 itaonyesha CCM!