MUM ipo under TCU ila haipo Cas only. Kwa maana wanachagua wenyw wanafunz kulingana na sifa elekezi za TCU alaf wanayatuma majina TCU.ndo maana wanafunzi wake pia ni wanufaika wa mkopo na wanalipia pia elfu 20 ya TCU.acheni imani potofu kwa kudhani MUM ni madrasa. Wale jamaa hawana huruma ktk masomo hamna degree ya chup pale wala hela. Struggle utapata chako. Wakristo husoma bila tatzo ila lazma sheria izingatiwe.
hata bocoharam nao wanadahili cjui
Kwani kudisco ndo uzuri wa chuo..??
Usiwe mjinga wewe, ni LAZIMA watimizw masharti na vigezo, kama hawapo maana yake hawajatiA masharti.chuo kimuu cha ki Islam morogoro hakimo kwenye central admission system ya TCU kwanini ? nani ya nchi ambazo haina ubaguzi wa kid in? (
TCU wanadahili academics , hiki cha dini ukishajua kupiga swala umekolifai shida iko wapi ?

Mali ya serikali ivyo sa kijitoa ni ndoto na haiwez tokeaNi muda muafaka kwa UDSM na MUHAS nao kujitoa kwenye hiyo CAS ya TCU na siyo kusubiria mpaka watumiwe majina ndo wayakatae.
Kwenye Central Admission System una vigezo vya kusomea Shahada ila huna vigezo vya kuimiliki.TCU wanadahili academics , hiki cha dini ukishajua kupiga swala umekolifai shida iko wapi ?