Unataka wakajenge wapi?? Sumbawanga?Hivi kwanini kila ofisi ya kimataifa inajengwa Arusha tu hapa Tz?naona hata hii ya Afrcan Postal ni huko,kulikoni wadau?
Hivi kwanini kila ofisi ya kimataifa inajengwa Arusha tu hapa Tz?naona hata hii ya Afrcan Postal ni huko,kulikoni wadau?
huo ni mpango tu serikali kuamua kwamba arusha iwe kimataifa zaidi sio mbaya kwa hilo, mbeya imepewa kua ghala la taifa mwanza mji wa biashara acheni majungu men.....kwamfano mwanza nzima inavyumba 400 tu yvakukidhi mahitaji ya wageni wenye hadhi wakati arusha wana vyumba zaidi ya 3000
Madada Poa wako wengi sana Arusha tena wanaotoka Singida Wanyiramba,Wanyaturu na ndugu zao Wambulu bila kuwasahau Warangi! Tena taaluma yao kuu ni kuwa Ma barmaids.Hivi kwanini kila ofisi ya kimataifa inajengwa Arusha tu hapa Tz?naona hata hii ya Afrcan Postal ni huko,kulikoni wadau?