Sirm JF-Expert Member Nov 16, 2013 544 334 Dec 26, 2013 #1 Nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu sana juu ya hili neno X-Mass kwanini tusitumie na neno la HAPPY BIRTHDAY? Naombeni munieleweshe mwenzenu!
Nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu sana juu ya hili neno X-Mass kwanini tusitumie na neno la HAPPY BIRTHDAY? Naombeni munieleweshe mwenzenu!