Enyi wadau habari zenu!...
Naomba viongozi wa majeshi pamoja na viongozi wa serikali, waruhusu kutumika kwa mikanda ya jeshi kuwajaraza madreva wote wazembe na wanywa viroba, hususani wanaosimama popote ghafla na kusababisha foleni isiyo na ulazima ama ajari zinazoepukika.Hasa wale madreva wanaokuwa wamelewa.
Naongea haya kwa dhati kabisa naomba menejiment za majeshi yetu ziruhusu mapolice, wanajeshi kutembea na mikanda ili kero ndogo ndogo tumalizane hukuhuku barabarani,kuliko kujaza kesi zisizo na ulazima police na mahakani.
KWANINI VIROBA VINAUZWA BARABARANI?
Yaani katika vitu vya kushangaza, hivi vile vi mihogo wanavyopitisha mama zetu barabarani huwa ni kwajili ya chakula Au nini? Kipisi cha mhogo kidogo mtu anamenya na kutupa maganda hivi si uchafuzi wa mazingira? Kwanini wanatembeza vyakula barabarani? Mabwana afya mpo hamuwaoni hao? Mtu anakugongea kioo akuuzie VIROBA hivi hii haki kweli? Barabarani vinauzwa viroba? Jana kuna watoto walikodi costa kutokea mbagala kwenda beach za kigamboni, wamening’inia madirishani huku dereva anachora- Baada ya police kufanikiwa kuwablock, na kuwa pekua mabegi yao, wengi walikuwa na visu,viroba, mapanga,bisibisi, Watu wote hao kuwafunga ni kutokuwatendea haki, hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kucharazwa mikanda na bakora za kutosha mmoja mmoja-sizani kama watarudia tena, watu hao huenda wangesababisha ajali barabarani ama fujo maeneo ya beach endapo wangefanikiwa kufika.. naomba iruhusiwe kutumika mikanda jamani!
CC!!!
-Mwamunyange>Raphael>Mangu>Minja>Mpinga>Siro na makonda