Kwanini Iran inataka kuangamiza Taifa la Yemen?

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,988
Sijawahi ona Taifa korofi kama Iran
Huko Yemen wanaua watu km wanaua kuku wananchi hawazalishi,hawaendi shambani kuzalisha, Watoto wanakufa njaa

Iran haangalii mateso ya watu wa Yemen mbaya zaidi ni dini moja ila Bado wanaua raia wasio na hatia

Yemen imeoza haina tofauti sana na somalia ila Iran hajali Hilo yeye anaua watu

Nawaza tu km sio huruma ya saudia arabia na UN kusaidia kupeleka msaada ya kibnadamu ni wazi Yemen ingeshaangamia

Dunia imekaa kimyaa Huku Iran akiua watu km kuku huko Yemen Kwanini?

Hili ingekuwa Africa mebeberu wangeshanyanyua midomo kututusi ila wamewaacha Iran wanaua watu hovyo sana
 
We boya ni lini Iran imeishambulia Yemeni? tangu vita vya Yemeni vimeanza ulishawahi kusikia ndege za kivita za Iran zinaishambulia Yemeni?
Saudia si ndo inaishambulia Yemeni na ndege kila kukicha kwa msaada wa marekani? na leo mashambulizi ya saudia wameuwa watu zaidi ya100 alafu uharo wa kuropoka hovyo.
Mambo mengine Kama hamjui muwe mnakaa kimia
 
Wewe kumbe kichwani ni sifuri

Saud arabia ameshambulia magaidi yanafadhiliwa na Iran
Iran inawapa Magaidi wa Yemen Ili kuangusha serkali

Halafu unaropoka

Serikali ipi?huyo rais anayepigania kurudi madarakani si alijiuzuru mwenyewe?
 
Iran anatengeneza silaha mwenyewe na anaua w
Ndugu zake Yemen
Kila silaha mpya zikiingia mjini lazima tutafute uwanja wa kuzifanyia. Tukagundua waarabu ndio peke yao wanafaa. Afrika hapana kwa sasa ila huko baadae itabidi twende Afrika
 
We unafikiri nimekurupuka?

Iran inawafadhili Magaidi waliopo Yemen, Magaidi yanaua watu wasio na hatia ili kuikwamisha na kuiangusha serkali
tatizo mnapenda kutafsiriwa.fuateni aljazeera muueĺewe huu mgogoro.
 
Naona umeandika kama unatoka usingizini, au unavuta bangi ww sio bure, watu wanakucheka kwa unayoyaandika, alaf umeshawahi kuja kulalamika apa kuhusu Real action ambazo wanafanyiwa wapalestina na magaidi ya kiyahudi kila siku?? Maana apa umetoa malalamiko ya uongo ambayo hayapo kabisa ata kwenye vyombo vya Habari vya magharibi vilivyoko against Iran
 
Acha kuifananisha bangi na vitu vya kijinga jinga kama mleta mada
Naona umeandika kama unatoka usingizini, au unavuta bangi ww sio bure, watu wanakucheka kwa unayoyaandika, alaf umeshawahi kuja kulalamika apa kuhusu Real action ambazo wanafanyiwa wapalestina na magaidi ya kiyahudi kila siku?? Maana apa umetoa malalamiko ya uongo ambayo hayapo kabisa ata kwenye vyombo vya Habari vya magharibi vilivyoko against Iran
 
Sijawahi ona Taifa korofi kama Iran
Huko Yemen wanaua watu km wanaua kuku wananchi hawazalishi,hawaendi shambani kuzalisha, Watoto wanakufa njaa

Iran haangalii mateso ya watu wa Yemen mbaya zaidi ni dini moja ila Bado wanaua raia wasio na hatia

Yemen imeoza haina tofauti sana na somalia ila Iran hajali Hilo yeye anaua watu

Nawaza tu km sio huruma ya saudia arabia na UN kusaidia kupeleka msaada ya kibnadamu ni wazi Yemen ingeshaangamia

Dunia imekaa kimyaa Huku Iran akiua watu km kuku huko Yemen Kwanini?

Hili ingekuwa Africa mebeberu wangeshanyanyua midomo kututusi ila wamewaacha Iran wanaua watu hovyo sana
Yaani mnawachukia sana waajemi mpaka mna anza wapakazia uongo ss

Anyway nenda basi kapige bomu tehran mkuu
 
We ni mjinga Au huelewi!
Hujui iran ndio anafadhili waasi wa houth wanaopigana usiku na mchana kuangusha serkali ya Yemen
Au akili yako imejaa maji tu

Iran ndio mfadhili mkuu wa Magaidi ya houth Yemen
Usingekuwa Saud arabia kuiikingia kifua serkali hali ingekua mbaya zaidi

Back
Top Bottom