mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
Bichwa komwee halafu nikisema wewe ni academician unasema nadanganya. Hoja yako umeileta kitaalamu mno, naweza kuwa miongoni mwa wachache tulioelewa. Jamaa mjanja sana wewe!.[emoji38]Mara ya kwanza nilidhani iPhone ni simu za watu wenye ujiko hivi au hadhi fulani.
Lakini baadaye nikagundua iPhone zimekaa kidada dada, hata wanaomiliki wengi wao ni kama wana mikogo ya kujishebedua kuliko kuzingatia matumizi halisi ya simu husika.
Wanakwambia ati wanataka SECURITY, mtu mwenyewe simu yake kajaza mavideo ya ambaruti, sijui hata wanataka security gani.
Kila tokeo jipya likitoka wanavamia kwa pupa, ati wanaenda na wakati!
Mwingine anauza genge la nyanya, anang'ang'ana na iphone mpaka anapata madhara kule nanihii.
Hizi iphone ZIANGALIWE upya. Zinaleta utaahira.
Unakuta dume limejikwatua na iPhone linajisnapchat ati!
I am BICHWA MOKWE THE BOSSBichwa komwee halafu nikisema wewe ni academician unasema nadanganya. Hoja yako umeileta kitaalamu mno, naweza kuwa miongoni mwa wachache tulioelewa. Jamaa mjanja sana wewe!.[emoji38]
Anyway! Ni sahihi kabisa. Huenda wakawa na agenda yao ya siri labda kwenye hilo.
Sikai mabondenii ni nyumba batii kapigilia vibaya [emoji1787][emoji1787]Sa kwann unakaa mabondeni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aifoni haina lolote bas tu bichwa kaamua kutuandama, hajui ulevi wa IOS huyo
Thubutuuuuu[emoji38]I am BICHWA MOKWE THE BOSS
Nimeishia la saba mkuu [emoji23][emoji1787]
😂😂😂😂Thubutuuuuu[emoji38]
Ooh pole sanaSikai mabondenii ni nyumba batii kapigilia vibaya [emoji1787][emoji1787]
Sinza kwa remi mabondenii kwelii [emoji1787][emoji1787]
Mwenye nyumba kesho nshamwambia afike asubuh na fundii[emoji1787][emoji1787] elnino isije zidi[emoji119]Ooh pole sana
Umepanga? Hapo lazima msumbuane na mwenye nyumba 😂😂😂Mwenye nyumba kesho nshamwambia afike asubuh na fundii[emoji1787][emoji1787] elnino isije zidi[emoji119]
Keshakuja na batii ko nikurekebisha keshoUmepanga? Hapo lazima msumbuane na mwenye nyumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawapendi kutoa pesa
😂😂😂😂 Pesa ya fundi analipa nani?Keshakuja na batii ko nikurekebisha kesho
Ananijua ntakuja na mwanasheria chapu[emoji1787][emoji1787][emoji119]
Kama zimekaa "kidada dada" basi hizo ni kwa wanaume. Au wewe unapenda vikaka kaka?Mara ya kwanza nilidhani iPhone ni simu za watu wenye ujiko hivi au hadhi fulani.
Lakini baadaye nikagundua iPhone zimekaa kidada dada, hata wanaomiliki wengi wao ni kama wana mikogo ya kujishebedua kuliko kuzingatia matumizi halisi ya simu husika.
Wanakwambia ati wanataka SECURITY, mtu mwenyewe simu yake kajaza mavideo ya ambaruti, sijui hata wanataka security gani.
Kila tokeo jipya likitoka wanavamia kwa pupa, ati wanaenda na wakati!
Mwingine anauza genge la nyanya, anang'ang'ana na iphone mpaka anapata madhara kule nanihii.
Hizi iphone ZIANGALIWE upya. Zinaleta utaahira.
Unakuta dume limejikwatua na iPhone linajisnapchat ati!
Elon MuskHivi Kuna wanaume wanatumia iPhone???????
Labda wanaume wa dasalama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I am BICHWA MOKWE THE BOSS
Nimeishia la saba mkuu [emoji23][emoji1787]