Rough player
Member
- May 26, 2018
- 39
- 120
Ambavyo vipo kwa bible umeshavimaliza vyote na kuvielewa?natumaini wote wazima ndugu zangu wa jf intelligence,
bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa husika cha mada
kwanza kabisa naomba kujua kwanini injili ya barnaba iliteketezwa ni karatasi mbili pekee ndizo zilizosalia moja ilikua imeandikwa kwa lugha kihispania na moja kwa kitaliano je sababu zilikua ni zipi kwani barnaba hakua mwanafunzi wa yesu au kuna vitu tunafichwa tusivijue?
nilikua nasoma nakala moja inasemekana injili hiyo wakati wa pope glacious aliiteketeza na aliipiga marufuku kutumika kwanini?
na kwanini vitabu vingine vya injili havijajumuishwa kwenye bible?
pili nimekua nikisoma tu bible ila kuna vitabu vya watu wengi ambao ndio waliokua wanafunzi wa yesu lakini je ni wote walioteuliwa kuandika injili na yesu? kwa maana nyingine ni nani aliyeteuliwa na yesu mwenyewe aandike injili?
natumaini maswali yangu yameeleweka kama nitakua nimekosea mahala basi turekebishane kwa kua wote tupo kujifunza naomba wajuzi wa mambo mnisaidie kupata hayo majibu ya hayo maswali husika ufia dini tuweke pembeni
nawasilisha
Injili ya barnaba haikuandikwa na yule barnaba mwanafunzi wa Yes Bali iliandikwa na mtu mmoja wa Morocco ilivyopitiwa ikaona imepotoshwa na ilivyoangaliwa kwenye Carbon 14 ikaonekana imeandikwa miaka mingi baada ya kristo hata baada ya Uislam,kwaio ile injili ilikua ya upotoshajinatumaini wote wazima ndugu zangu wa jf intelligence,
bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa husika cha mada
kwanza kabisa naomba kujua kwanini injili ya barnaba iliteketezwa ni karatasi mbili pekee ndizo zilizosalia moja ilikua imeandikwa kwa lugha kihispania na moja kwa kitaliano je sababu zilikua ni zipi kwani barnaba hakua mwanafunzi wa yesu au kuna vitu tunafichwa tusivijue?
nilikua nasoma nakala moja inasemekana injili hiyo wakati wa pope glacious aliiteketeza na aliipiga marufuku kutumika kwanini?
na kwanini vitabu vingine vya injili havijajumuishwa kwenye bible?
pili nimekua nikisoma tu bible ila kuna vitabu vya watu wengi ambao ndio waliokua wanafunzi wa yesu lakini je ni wote walioteuliwa kuandika injili na yesu? kwa maana nyingine ni nani aliyeteuliwa na yesu mwenyewe aandike injili?
natumaini maswali yangu yameeleweka kama nitakua nimekosea mahala basi turekebishane kwa kua wote tupo kujifunza naomba wajuzi wa mambo mnisaidie kupata hayo majibu ya hayo maswali husika ufia dini tuweke pembeni
nawasilisha
Injili ya barnaba haikuandikwa na yule barnaba mwanafunzi wa Yes Bali iliandikwa na mtu mmoja wa Morocco ilivyopitiwa ikaona imepotoshwa na ilivyoangaliwa kwenye Carbon 14 ikaonekana imeandikwa miaka mingi baada ya kristo hata baada ya Uislam,kwaio ile injili ilikua ya upotoshaji
Dunia tunayoishi sasa hivi sio hiyo unayoongelea. Tunataka kujua ukweli wa mambo.Mambo ya dini sio muhimu sana kuyachunguza maana yamekaa kiimani zaidi, usijaribu kufikiria ni sehemu gani dini au dhehebu lako lina mapungufu but jaribu kufikiria ni jinsi gani utaweza kuishi kulingana na misingi ya Dini yako!
Kaa kwa Amani Mtu wa Mungu
Sizani kama barnaba anapiga kifo cha yesu kwa kuwa hata waraka kwa waebrania aliouandika yeye unaonyesha nguvu ya kifo cha yesuBaada ya kuonekana iko tofauti sana na injili nyingine ndo mana ikapigwa marufuku. Hiyo injili huumiwa sana na waislam katika baadhi ya mandiko ku support Quran kwani yaongelea ujio wa mtume Muhhamadi na kutouliwa kwa Yesu msalabani.
Kama umuelewa unaeza gundua hizi dini ni miradi ya watu ili kutuweka akili zetu ndani ya BOX.
Mkuu hii sio hoja hata Daniel hakuandika kitabu cha Daniel wala waebrania hakikuandikwa na Paulo na hata kitabu cha mwanzo kimeandikwa kipindi waisrael wapo uhamishoni huko babylon hivyo hoja ingekuwa kwenye source zake muandishi ila tarehe na uandishi 70% ya Biblia haikuandikwa na manabii waliohusishwa na hivyo vitabu kama sio unaweza ukatusaidia nani muandishi wa wimbo ulio bora ambacho kimeandikwa miaka 200 baada ya suleiman kufa.... Au unaweza tusaidia muandishi wa mwanzo ambacho kimeandikwa zaidi ya miaka 600 baada ya musa kufa??Injili ya barnaba haikuandikwa na yule barnaba mwanafunzi wa Yes Bali iliandikwa na mtu mmoja wa Morocco ilivyopitiwa ikaona imepotoshwa na ilivyoangaliwa kwenye Carbon 14 ikaonekana imeandikwa miaka mingi baada ya kristo hata baada ya Uislam,kwaio ile injili ilikua ya upotoshaji
Nimeisoma hicho kimenifungua mengi ila sielewi kwanini hakijawekwa kwenye Biblia!!Hakuna kama injili ya Yuda Iskarioti![emoji123][emoji123][emoji123]
Labda niseme tu wakati hizi injili zinaandikwa hakukuwa na Biblia ya agano la jipya ila miaka 300 baada ya Yesu kufa ndio kanisa likaamua kuwa na standard bible ndio wakafanya canonization na kuchagua vipi viingie vipi vibaki so tunapochangia tusiwe na mawazo kwamba agano jipya lilikuwa na vitabu 27 toka mwanzo bali watu wachache walikaa ndio wakaamua hivyo 27 ndio vibaki so tuzingatie hiloAmbavyo vipo kwa bible umeshavimaliza vyote na kuvielewa?
Mkuu kwanza nikupongeze kwa mada nzuri maana napenda sana watu wanaohoji ili kujifunza..... Nitarudi nichangie kwa upana zaidi ngoja niwaite na wataalamu hawanatumaini wote wazima ndugu zangu wa jf intelligence,
bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa husika cha mada
kwanza kabisa naomba kujua kwanini injili ya barnaba iliteketezwa ni karatasi mbili pekee ndizo zilizosalia moja ilikua imeandikwa kwa lugha kihispania na moja kwa kitaliano je sababu zilikua ni zipi kwani barnaba hakua mwanafunzi wa yesu au kuna vitu tunafichwa tusivijue?
nilikua nasoma nakala moja inasemekana injili hiyo wakati wa pope glacious aliiteketeza na aliipiga marufuku kutumika kwanini?
na kwanini vitabu vingine vya injili havijajumuishwa kwenye bible?
pili nimekua nikisoma tu bible ila kuna vitabu vya watu wengi ambao ndio waliokua wanafunzi wa yesu lakini je ni wote walioteuliwa kuandika injili na yesu? kwa maana nyingine ni nani aliyeteuliwa na yesu mwenyewe aandike injili?
natumaini maswali yangu yameeleweka kama nitakua nimekosea mahala basi turekebishane kwa kua wote tupo kujifunza naomba wajuzi wa mambo mnisaidie kupata hayo majibu ya hayo maswali husika ufia dini tuweke pembeni
nawasilisha
Kwa hali hii ni ngumu hata kupambanisha biblia na vitabu vyengine ili kutaka kujua ni kipi kitabu cha kweli.Labda niseme tu wakati hizi injili zinaandikwa hakukuwa na Biblia ya agano la jipya ila miaka 300 baada ya Yesu kufa ndio kanisa likaamua kuwa na standard bible ndio wakafanya canonization na kuchagua vipi viingie vipi vibaki so tunapochangia tusiwe na mawazo kwamba agano jipya lilikuwa na vitabu 27 toka mwanzo bali watu wachache walikaa ndio wakaamua hivyo 27 ndio vibaki so tuzingatie hilo
Hakuna INJILI ya barnaba wewe [emoji53] INJILI ni ya YESU tu [emoji106]natumaini wote wazima ndugu zangu wa jf intelligence,