Kwanini inatokea hivi siku chache kabla ya ndoa?

Kwanini inatokea hivi siku chache kabla ya ndoa?

Naona alikua anaaga aga miti aliyikua anapigwa na lijamaa
 
Ndio maana Ndoa za siku hizi hazidumu, watu wanajichotea gundu eti " tunaagana au Cha mwisho"!😞
 
Wengine wanakuwaga na hasira unaenda kufanywa kumbe ana kisu matakoni anakuua hukohuko.ndoa inapotea
 
Mi mwenyewe demu akishanambia anamtu yaan hata shauku ya kumfatilia ina potea.. lakini nashanga kwa wengine mpaka siku ya ndoa wanaenda kukwichkwichi na ma ex wao
Kumbe wewe huwezi kuila ile kitu na mshkaji wako. Anatokapo unaingiamo ni kawaida. Mfanye starehe utaenjoi ila usiweke moyoni. Weka moyoni pesa ama maisha hutojuta
 
Huyo aliyekuwa ana du naye ndiye anayempenda ila huyo anayemuoa amekubali kuolewa naye mana hana namna tu. Ni kama kukubali kufanya kazi kwa mhindi mana hauna option ingine. That's overover.
Kama VP wadada njooni hapa mpinge.
Ukiona Upo uchumba na mwanamke afu hakupi mzigo kila muda ama hakuambii kuwa anawashwa huko umkune eti mpaka umuoe basi jua kabisa yupo ambaye anabembelezwa aje kula tunda hilo pendwa mkuu.

Mwanamke inatakiwa akupende naye ila sio kuwa akupende ili umuoe.
Ndoa itatokea mbele ya safari huko mkiwa mnakulana ndo Poa.
Ila umepewa namba anakuuliza una mpango gani namie.
Kuna mwalimu Wa mbeya nimemkaribisha first year akafanyiwa ile party yao pale uwanja Wa mabibo hostel usiku wakapigiwa mziki nikaenda kumla hostel block e.yaaji demu hata hatujadumu mwezi anahitaji mhakikishie ndoa. Yaaji ni kama alikuja kutafuta mchumba. Mpaka jina nimelikumbuka na Nilikuwa nishamsahau.
Nikamtema fasta sana.
Usioe kisa demu ametaka ndoa ila oa kwa ridhaa yako mwenyewe kama demu anataka ndoa basi aanzishe michakato mpaka ya kuku approach wewe
 
Kingine wazazi wanachangia unakuta mdada analazimishwa kuolewa na mwanaume ambae wamemtafutia wazazi wake,eti sababu tu mwanaume ana pesa zake au sababu zingine.
Wakati mdada anabwana wake anampenda Mwisho wa siku ndio wanakulana before and after Ndoa.

Mimi pia nishafanya iyo kitu Demu week moja kabla ya ndoa alikua anauzuria ktk pindi vzr tu mpaka siku moja kabla ya ndoa .
Nashukuru kaolewa mkoani maana uko alipo ananisumbua, angekua hapa Dar angenitafutia majanga kwa mumewe.
 
Bana e, watu mkishaanza kukulana mtakulana tuu ndoa hua haibadilishi chochote. Yule shetani alieko pale ni yule mwenye mapembe hua halali wala hapumziki.
 
Aaah inshu inakua tu kwamba moyoni mtu hajaamua kuachilia mambo yote ya nyuma.

Mwingine anagawa utamu hivyo ili aonekane bado anampenda Jamaa ake wa nyuma au manzi ake but anaingia Kwenye ndoa Hana budi kufanya hvyo, ila ukweli ni mizugo tu maana anayeolewa/kuoa ndio amekubalika zaidi ile ni mizugo kwamba asionekanae hakua na nia ya dhati katika penzi la nyuma
 
Back
Top Bottom