Kwanini inakua hivi? Shida Nini hasa?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Asilimia kubwa ya mada nyingi humu zinazungumzia kuchapa k na kulala mbele.
Je, somo la mapenzi liingizwe mashuleni maana wanaume tunakosa uvumilivu wa kuishi na ke
Je, wazee wetu waliwezaje kuishi nao

Je, hakukua na pesa enzi izo, hakukua na utajiri wa kuwavutia ke wa wakati huo.

Tuwapende ke , tuwajali kwani hao ndio vitulizo pekee vyetu tulivopewa me hapa duniani.
Kikubwa ke nao wajitambue.


Nawasilisha
 
Nahisi Pande zote mbili zimekubaliana kifikra kwamba mapenzi bila pesa hayaendi pia hakuna aliye wa pekeako.
Kazi iendelee.
 
Aa wapi wazee wa zamani wahuni tu ndiyo maana malapa ya ngozi wakaita "MAKUBAZI" sasa hebu soma hilo neno kuanzia mwisho kuja mwanzo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…