ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 13,825
- 27,271
Nmetafta Google nzima sijamuona real Madrid hata picha haipoBasi tufanye hivi..
Kwa kuwa ameifundisha Getafe FC kwa miezi 4 na Real Madrid kwa Miezia 6.
Tuhitimishe kwa kusema Pablo Escober ni Kocha bora kwa sasa hapa barani afrika kuliko Pitso Mosimane.
Pia tuhitimishe kwa kusema Pablo Escobar ni kocha mwenye mafanikio makubwa kuliko Pitso Mosimane.
Yule mwarabu mla kitimoto anawafumua Malinda kina feiFulaha kama hiyo inapatikana Avic Town tu.
Kule Bunju sasa hivi wanatafutana Pablo Kaingia na Unga mazoezini..
Wachezaji wanapataje furaha...
Wewe huo mkatana umeuona? Au hiyo clause umeiona?Mimi ni shabiki wa Yanga ila najua hili la chama ni gumu maana mkataba haurusu kurudi tena au kucheza Yanga
Mimi ni shabiki wa Yanga ila najua hili la chama ni gumu maana mkataba haurusu kurudi tena au kucheza YY
Kama kufumuliwa Malinda ndìo kunamfanya fei toto awe na ubora wa namna ile....
Basi Acha tu aendelee kuliwa Malinda.....
Maana hata tundu ni lake, sio langu au lako.
Hili Mazuzu FC hawalijui wanabwabwaja tu Chama anakuja Utopolo.Mkataba wa chama ni sawa na wa kalinyoz na konde boy hakuna kurudi kucheza bongo in 5 years labda urudi kwenye klabu iliyokuuza
Ndivyo ilivyo. Ila km hutaki kwasabab nyie ni kamati ya mapokezi , andaeni mapokezi mkitokea jangwani lkn mwali ataelekea msimbazi.Umeuona Mkataba wake?
Kama ndio utupie hapa..!
Je labda umesikia popote kuhusu unachokisema...Hebu tuambie chanzo chako cha Habari.
someni na muelewe hajazuiwa kurudi bali akirudi lazima arudi ktk timu iliyomuuza. Kumbuka pia kipengele alichowekewa Kalinyos wakati anaondoka yangaMkataba unazuia mtu asirudi? asiee
Hivyo vipengele mmeviona wapi?someni na muelewe hajazuiwa kurudi bali akirudi lazima arudi ktk timu iliyomuuza. Kumbuka pia kipengele alichowekewa Kalinyos wakati anaondoka yanga
Nabi hajamfikia hata kibadeniBasi tufanye hivi..
Kwa kuwa ameifundisha Getafe FC kwa miezi 4 na Real Madrid kwa Miezia 6.
Tuhitimishe kwa kusema Pablo Escober ni Kocha bora kwa sasa hapa barani afrika kuliko Pitso Mosimane.
Pia tuhitimishe kwa kusema Pablo Escobar ni kocha mwenye mafanikio makubwa kuliko Pitso Mosimane.
πππππ
Si hoja ya kiuanamichezo hii hata kidogoYule mwarabu mla kitimoto anawafumua Malinda kina fei
Yanga ndo mafala wanaleta person inshu mitandaoniSi hoja ya kiuanamichezo hii hata kidogo
Una akili timamu kweli?Mkataba wa chama ni sawa na wa kalinyoz na konde boy hakuna kurudi kucheza bongo in 5 years labda urudi kwenye klabu iliyokuuza
Tunatania tu utopwinyo wametoa bilioni 6 kumchukua chama na kondeboy,hongereni sana mazuzuUna akili timamu kweli?
Kama kweli unayo akili timamu ebu uweke huo mkataba kwenye hii thread!
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila ninachojua Mchezaji pekee ambaye ana Kipengele cha kutokuja kucheza Yanga SC ni Jose Luis Miquissone tu na siyo kwa Clatous Chota Chama.Mimi ni shabiki wa Yanga ila najua hili la chama ni gumu maana mkataba haurusu kurudi tena au kucheza Yanga
AlaaWewe huo mkatana umeuona? Au hiyo clause umeiona?