Kuna mwalimu wangu wa dini alinifunza kuwa,ukimuona mtu mlemavu/mwenye mapungufu ktk macho yetu ya kibinadam unakumbushwa kuwa una ulemavu flan ktk maisha ya kiroho so ni vema tukajitafakari kupitia picha hii,asante Mshana jr. kwa uzi huu.

Hii picha ilitoka huku na nimeshawasiliana na wahusika na tuko kwenye mchakato.... Natanguliza shukrani zangu kwa yule mfadhili aliyeguzwa na hali ya huyu mtoto