ANAUPIGA MWINGI
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 389
- 753
Yeye mwenyewe analijua hiloMama kuzungumzia Ufisadi kwa sasa ni sawa na kwenda against timu yake mpya ambayo imejaaa Wapigaji ambao ni Certfied.
Timu yake ukiangalia ni timu ya wapigaji ukianza na Waziri wake wa Pesa, Mpaka Makamu Mwenyekiti wake wa Chama.
Bado hujaja kwa mtu kama Rostam yule anapiga then anapotea miaka kadhaaa,
Kwa kifupi sifa kubwa za timu yake ambayo ilikuwa ni timu ya Kikwete ni Upigaji, huwezi niambia kwamba ana timu ya Wachapa kazi hapana ana timu ya watu watakao hakikisha upigaji.
Mtu kama Mwiguru Nchemba ana Uchapa kazi upi? January Makamba ana Uchapa kazi Upi? hawa ni wapigaji certfied.
Mama kuzungumzia report ya CAG ni kuwaudhi timu yake mpya ya kazi na njia pekeee ya kuto kuwaudhi ni kupiga kimya kwenye ishu za Upigaji pesa.
Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni, awamu hii ya 6 "yale majitu" yapo kazini. Usisahau pale nishati ni hataree fisi kapewa bucha alindeKwa kifupi sifa kubwa za timu yake ambayo ilikuwa ni timu ya Kikwete ni Upigaji, huwezi niambia kwamba ana timu ya Wachapa kazi hapana ana timu ya watu watakao hakikisha upigaji.
Mzee wee fanya kaz pata riziki maisha yasonge, maana ile pesa 1.5trl CAG alisema waz haijulikanagi matumiz yake na ni ufisad lkn kilichompata CAG ni kufukuzwa kaz. Ndo ujue hii mamb si ya leo tu!! Hakuna uwaz na uwajibikaji hapa bongo mzee πππMama kuzungumzia Ufisadi kwa sasa ni sawa na kwenda against timu yake mpya ambayo imejaaa Wapigaji ambao ni Certfied.
Timu yake ukiangalia ni timu ya wapigaji ukianza na Waziri wake wa Pesa, Mpaka Makamu Mwenyekiti wake wa Chama.
Bado hujaja kwa mtu kama Rostam yule anapiga then anapotea miaka kadhaaa,
Kwa kifupi sifa kubwa za timu yake ambayo ilikuwa ni timu ya Kikwete ni Upigaji, huwezi niambia kwamba ana timu ya Wachapa kazi hapana ana timu ya watu watakao hakikisha upigaji.
Mtu kama Mwiguru Nchemba ana Uchapa kazi upi? January Makamba ana Uchapa kazi Upi? hawa ni wapigaji certfied.
Mama kuzungumzia report ya CAG ni kuwaudhi timu yake mpya ya kazi na njia pekeee ya kuto kuwaudhi ni kupiga kimya kwenye ishu za Upigaji pesa.
We unaandika nini takatakaKiuhasibu si kila kilichoripotiwa katika ripoti ya CAG ni ufisadi. Katika taarifa yake anayaainisha maeneo anuwai ambayo yanakosa vielelezo vyenye kuthibitisha matumizi yaliyofanyika katika eneo husika.
Kuna tatizo kubwa sana katika utunzaji wa kumbukumbu za kifedha, kuanzia katika ngazi ya watu binafsi mpaka katika taasisi. Pindi vielelezo vya matumizi vikihitajika wakati wa "audit trail", hasa vile ambavyo vipo katika hali ya "hard copy" utakuta miongoni mwake huwa havionekani kutokana na mapungufu makubwa yaliyopo katika "chain of custody" ya nyaraka husika.
Kushindwa kujibiwa kwa "audit query" kwa wakati si kuthibitisha uwepo wa ufisadi. Ufisadi unathibitishwa na uchunguzi zaidi wenye kuthibitisha uwepo wa ufisadi husika, na wala si vinginevyo.
Sitetei ufisadi wala mafisadi, ila nachojaribu kukielezea ni kuthibitisha tuhuma ili ibainike pasipo kuwa na shaka yoyote kuwa kosa la kifisadi limetendeka.
Ujuaji unakupoteza kabisa we ndezi. Si kila mada unapaswa kujifanya unaijua na kutaka kuichangia. Mambo mengine ni fani za watu, ondoa pumba zako hapa.We unaandika nini takataka