!
!
kama kati ya vitu navitamani basi ni hicho cha kujisafisha, na niwe na mmoja tu. Lakini nimejenga tabia ya kupenda mno viporo, yani sana kiasi kwamba huwa nikihitaji napasha tu fasta kwani havihitaji mito mwingi najikuta naelea humohumo kwenye. Daaaah noma mno aisse.
Nadhani kuwa clean is impossible, labda sijui uweje aisee.
unatamani umrukie umle nyama
Bibi angu alikuwa anatuita mabinti sayuni enzi hizo tunaimba kwaya kanisani sunday school
za sikutrouble shooting.........
Haya kila la kheri
hahahahaaaaa Enzi hizo kabla ya kwenda sunday school tunakunywa uji wa lusera hahahaaaaaa
!
!
@u una njia ya kumfanya mtu aspende viporo?........vina utamu wake.
mmh we nae umezidi na viporo loh punguzu!
!
@kiomba simu joto linapanda mno aisee. Noma zaidi simu iko silent bila hata vibration karibu na tv au radio mara unasikia titititititiiiiiii kutoka kwenye spika unaona loooh patanuka hapa...... siku hizi nimegundua airplane mode on ngoma mpaka asubuhi haiiiti wala haizimi.
hujui lusera kweli,huku mjini wanatengenezea juice huko kwetu tunaweka kwenye uji,uji unakua mwekundu.Hahahaaaaaa ndio uji wa nini huo
za siku
salama za kwako mzee wa mapaja meusi
nzuri mama wa pesa,mi nipo tu tangu nimetelekeza mchumba ug niponipo tu
!
!
@kiomba simu joto linapanda mno aisee. Noma zaidi simu iko silent bila hata vibration karibu na tv au radio mara unasikia titititititiiiiiii kutoka kwenye spika unaona loooh patanuka hapa...... siku hizi nimegundua airplane mode on ngoma mpaka asubuhi haiiiti wala haizimi.
nitafute shi ngapi?tafuta chapaa unichukue hapa kiulaini tu bila vikwazo
nitafute shi ngapi?
m 50....
ngoja niongee na tibaijuka anikopeshe maana kafukuzwa kazi ila kaachiwa hela kama kifuta machozi