aiseeeeeMimi mwenyewe sijiamini so huwa siulizi hilo
Mimi mwenyewe sijiamini so huwa siulizi hilo
jembe afrika kwema?aiseeeee
!
!
Dah.....yaani my wife wangu akishika tu simu yangu huwa napata moto kweli maana, looooh.
!
!
Dah.....yaani my wife wangu akishika tu simu yangu huwa napata moto kweli maana, looooh.
sijambo binti sayuni,mzima wewe mankaM?jembe afrika kwema?
sijambo binti sayuni,mzima wewe mankaM?
kwanini mama?Hahahaaaa hapo kwenye binti sayuni ndio nimeshtuka sana
Jisafishe uwe huru
...loading error..kiukweli sipendi kufuatiliwa mini mpaka utakapo ona siaminiki.. tumekuzwa kwenye culture tofauti utamaduni tofauti ni hili linaleta utofauti sasa unakuta mtu na mpenzi wake labda mi napenda kutembea usiku wewe unakuja na sheria zako usiku usitembee lazima nisitake kufuatiliwa once nakwambia am home elewa ... ila kufutiliwa kun kera kuliko maelezo ,.. ni hayo tu
...loading error..
kwanini mama?