Ukiona hauna bima na ukapelekwahospali ya serikali na hauna pesa ujue unakufa bila huduma, dawa hakuna,
Navilevile hata ukienda duka ladawa, basi dawa zote zimepanda bei sana
Hela za madawa tumenunua bombardier...Ukiona hauna bima na ukapelekwahospali ya serikali na hauna pesa ujue unakufa bila huduma, dawa hakuna,
Navilevile hata ukienda duka ladawa, basi dawa zote zimepanda bei sana
" Tutamwaga dawa kama njugu " baadaye kidogo , " Wananchi ni lazima mjiunge na bima ya afya ili mufaidike na huduma bora " Hakika ccm ni chama cha kitapeli mno !Ukiona hauna bima na ukapelekwahospali ya serikali na hauna pesa ujue unakufa bila huduma, dawa hakuna,
Navilevile hata ukienda duka ladawa, basi dawa zote zimepanda bei sana
Shem mbona unakatisha tamaaHela za madawa tumenunua bombardier...
Ukiugua panda ndege utapona fasta
Shem tena? Dadaangu yupi kakutunukia kitumbua nipange mahari kabisa?Shem mbona unakatisha tamaa
Dadangu skyShem tena? Dadaangu yupi kakutunukia kitumbua nipange mahari kabisa?
Oh kumbe... nashukuru kukufahamu shemelaDadangu sky
Ukiona hauna bima na ukapelekwahospali ya serikali na hauna pesa ujue unakufa bila huduma, dawa hakuna,
Navilevile hata ukienda duka ladawa, basi dawa zote zimepanda bei sana
Hapana mkuu kwa sasa dawa nyingi hata kwa mapharmacy zimekua za shida mfano dawa mseto nyingi kwa sasa zipo ma Hosp tu phamarcy zimekua adimu mno....nadhan kuna upungufu wa dawa pote ..ukweli ni kwamba dawa zipo lakini mpaka kumfikia mngojwa hapo ndo kuna kona kona kibao, watanzania tunaibiana wenyewe kwa wenyewe
mgonjwa anatumia bima kaandikiwa dawa hospitali wanamwambia dawa hamna na kikweli dawa wanakua wanayo mwisho wa siku wanakuandikia fomu ukachukue kwenye famasi binafsi
hawataki kutoa dawa za hospitali wanasema dawa hakuna ili uende kwenye mafamasi yao ukanunue zao,, lakin hopstali dawa zipo nyingi tu!
Tunanunua ndege kwanza,tunajenga reli afya zenu hazina umuhimu kwasasaUkiona hauna bima na ukapelekwahospali ya serikali na hauna pesa ujue unakufa bila huduma, dawa hakuna,
Navilevile hata ukienda duka ladawa, basi dawa zote zimepanda bei sana