baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 430
- 310
Kipindi kile cha Nyerere kuwatambua usalama wa taifa ilikuwa ni kazi ngumu sana...ilifika point hata ukimwona kichaa kama mazingira flani inakulepekea kuhisi ni usalama wa Taifa...
ungeweza kukuta mtu ni camera man kumbe ni usalama wa taifa...mpaka baadhi ya vichaa tulidhani wengine wako undercover lakini ni usalama wa taifa...
Piya hatukusikia matukio yoyote yaliyofanywa na wao...japo naamini yalikuwepo ila yalitekelezwa kwa usiri mkubwa.
Ila kwa sasa du!! usalama wa taifa si kificho tena.... Utakuta baa tena wakishagonga vyombo ni maneno ya kujisifu kwenda mbele... Mboga,mchuzi vyote wanamwaga tu...bila kujali nafasi zao...
Je! Ni maadili ya kazi kushuka au ..