Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
hata kama ulimkopa kwa siri pia..!!tusitendane live mbele ya public inaumaaa
sent from motorola bapa and nokia jeneza
hata kama ulimkopa kwa siri pia..!!tusitendane live mbele ya public inaumaaa
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Ujinga tu huo best maana kuanza kutangaza ni kujikosesha vitamu zaidi maana wanawake watakujua jinsi mtu alivyo zwazwaHuo ndio uanaume best. Mana wengine wanatangaza eti si unakaa sehemu fulani. Lol. Ya nini yote hayo kwa sababu kama k si ulishapewa shida iko wapi sasa.
Tena ujinga wa kiwango cha hali ya juu.Na yeye kama dushe kashatoa kama kuchunguliana wote mmechunguliana ujinga tuu
Hahaaaa. Si anajua baada ya muda itasahaulika halafu ananza tena upya. Na mpaka kaburi lake lifukuliwe sio leo.Ujinga tu huo best maana kuanza kutangaza ni kujikosesha vitamu zaidi maana wanawake watakujua jinsi mtu alivyo zwazwa
Hivyi kuna hadi mambo ya mikopo.hapo lazima ikuume na ukikumbuka mauno yote uliyompa ingawa ulikua mkopo
Ndio lakini hawajijui ujuemwanaume ndo anaaibika sana ujue
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Ata kama ila mtu unajipotezea maksi na wale wanawake wenye kujitambua hawezi kumpata ata mmoja ataishia kuwaita shemejiHahaaaa. Si anajua baada ya muda itasahaulika halafu ananza tena upya. Na mpaka kaburi lake lifukuliwe sio leo.
Watu wabayana yani wanaasist adi kyaani bora ningesoma gazeti tuuu
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Ni ujinga ujinga tu usiyo na kichwa wala takoNa yeye kama dushe kashatoa kama kuchunguliana wote mmechunguliana ujinga tuu
Haaa tena maisha yanakua mazuri. Hakunaga kitu kizuri kama kumlindia heshima mwanamke uliyemla maana uyo ata kesho ukiomba unapewa yoteSafiiiii na maisha mengine yanaendelea
Yah ni kweli kikubwa muwe makini sanaSanaaa ila wanatufunza tuzidishe umakini
Ndiwoooo uadui wa nini jaman hata mkiachana kesho na kesho kutww mnasaidianaHaaa tena maisha yanakua mazuri. Hakunaga kitu kizuri kama kumlindia heshima mwanamke uliyemla maana uyo ata kesho ukiomba unapewa yote
Nikuulize wewe uliye muhenga zaidi yanguHivyi kuna hadi mambo ya mikopo.
Kabisa maana maisha aya mtu huwez jua ya keshoNdiwoooo uadui wa nini jaman hata mkiachana kesho na kesho kutww mnasaidiana
Atapata watoto wenzie ili mwisho wa siku wanatupa faida sieee.Ata kama ila mtu unajipotezea maksi na wale wanawake wenye kujitambua hawezi kumpata ata mmoja ataishia kuwaita shemeji