Kwan kina Afande sele na professa jay walikuwa na mapinduzi gani?Hip Hop; Reggae zinaendana na Mapinduzi, Utetezi na kuondokana na marginalization (Nyimbo za Hisia, Kupinga Status Quo)....
Sasa hizi zama za Uchawa, Flip Floppers na watu wa kujali matumbo yao - Nadhani walicholishwa ndio kinachowafaa; anyway bora tu tuendelee na nyimbo za mapenzi (language of all Nations)
Unadhani kwanini labda?Vijana wa sku hizi wanwaskiza sana kila jay melody