Kwanini Hili Tatizo Linakithiri?

Kwanini Hili Tatizo Linakithiri?

Young Kibaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
319
Reaction score
46
Ningependa kufahamu hivi ni kwanini wanafunzi wengi hawajui kozi wanazozichagua? hii imetokana na maswali mengi ya wanaouliza kozi flani inahusika na nini? na je, kwanini wanazichagua wakati hawazijui? au wanachagua PRIORITY? na je, hivi mpaka unamalza kidato cha sita au diploma lakini hujui unataka kusoma nini?
Mawazo yako mdau
 
hii inatokana na mtu kutemwa 1st round ..huwa kuna kaugonjwa kaajabu kanawapata..kama rafk yang alifaul vzur had kunzd mm lakn akatemwa frst round..nkawa namfanyia re-applction sasa namwambia tuweke ki2 gan haelew..nampa lst ya faculty zlzopo anakumbia heb jaza hyo hyo tu.mf alsema nimjazie hortculture nkamuulza unaijua.? akasema aijui ila n weke tu,ksa kukimbia education
 
maoni yako sawa. na je, huoni kama kuna uafadhali kuuliza kabla hujachagua
 
Wengi wanao omba course wanaomba wakiwa wameforkas ajira.Kwa hiyo lengo kuu la kuuliza nikuangalia wapi ambapo kuna wepesi wakuajiliwa.Mfano mtu unakuta hapendi kabisa education lakini kwa kuangalia fursa za ajira anaamua akimbilie huko.

Na pia wengine wanaomba course kwa kuangalia fulani alisomea nini na sasa yupo wapi?.

Watu wanamaliza wakiwa na ndoto zao za kusomea kitu flani lakini matokeo huwashepu na kubadili mwelekeo wao nakushindwa kuwa na altenative nyingine.

Pia uwezo wa income huchangia watu kusoma vitu wasivyovipenda na wakiwa hawajui aplication zake zipo wapi?.

Pia wengine huuliza ili kupata uhakika wa kile walichokuwa wanawaza.Au kuhusianisha na mawazo waliyo ambiwa na watu wengine.

Elimu yetu huwajenga wanafunzi kuwa tegemezi mpaka wa fikra muda mwingine.So ni mfumo wa mazingira tunayoishi ndio hutujenga kuwa hivo ulivyo uliza.
 
wengi wanao omba course wanaomba wakiwa wameforkas ajira.kwa hiyo lengo kuu la kuuliza nikuangalia wapi ambapo kuna wepesi wakuajiliwa.mfano mtu unakuta hapendi kabisa education lakini kwa kuangalia fursa za ajira anaamua akimbilie huko.

Na pia wengine wanaomba course kwa kuangalia fulani alisomea nini na sasa yupo wapi?.

Watu wanamaliza wakiwa na ndoto zao za kusomea kitu flani lakini matokeo huwashepu na kubadili mwelekeo wao nakushindwa kuwa na altenative nyingine.

Pia uwezo wa income huchangia watu kusoma vitu wasivyovipenda na wakiwa hawajui aplication zake zipo wapi?.

Pia wengine huuliza ili kupata uhakika wa kile walichokuwa wanawaza.au kuhusianisha na mawazo waliyo ambiwa na watu wengine.

Elimu yetu huwajenga wanafunzi kuwa tegemezi mpaka wa fikra muda mwingine.so ni mfumo wa mazingira tunayoishi ndio hutujenga kuwa hivo ulivyo uliza.

brilliant. lakini nina cha kuongeza hapo.
i) Kama umefocus ajira, inakuaje uombe kozi usiyojua ajira yake? kwa mfano mimi nina ndoto za kuwa Engineer wa Majengo lakoni naomba kozi ya Mazingira halaf nauliza hyo koz unapata wapi ajira utanielewa?
ii) sidhani kama utaomba kozi ya education usijue kuwa utaenda kuwa mwalimu.
iii)kama uliangalia fulani alisoma nini na yuko wapi basi hapana shaka utachagua kozi aliyoisoma kama unataka kuwa kama yeye na si kuuliza kozi hii inajihusisha na nini.
iv)kwenye ishu ya income, matokeo na uhakika nakuunga mkono. ila pia kwanini uombe kozi ambayo hukuifanyia uchunguzi na usubiri kuchaguliwa ndio uulize inahusika na nini?
 
Back
Top Bottom