MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,199
Binafsi sijawahi kutangaza Mahusiano kuanzia Boyfriend mpaka sasa Mume ...hehehehehe ukitaka kufa na pressure jitangazetangaze uone faili la Mumeo litakavyochambuliwa na kina fulani huko ...kiruuu!
Nyie si vbr dnd mtaweka wangapi...
Nyie si vbr dnd mtaweka wangapi...
Mfano mzuri ni status za whatsapp ukisoma tu unajua huyu kavurugwa maana jistatus la madongo hadi aibu
hehhehe hiyo ni njia rahis ya kujua jins mtu alivyo... unakuta status imejaa ka wosia, unajua huyu mgen humu
Nyie si vbr dnd mtaweka wangapi...
Mfano mzuri ni status za whatsapp ukisoma tu unajua huyu kavurugwa maana jistatus la madongo hadi aibu
Nyie si vbr dnd mtaweka wangapi...