Kwanini Heche anashambuliwa na WanaCCM !

Gentleman,
heche ni fisadi wa pesa za chadema,
na ndio maana wanachama wa chadema hawataki tena kukichangia pesa chama chao mpaka heche apigwe chini na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15 🐒
Una uelewa finyu hata kwenye mambo madogo, mtoa mada kauliza kwanini CCM wanamshambulia Heche, wewe unakimbilia michango ya Chadema. Anayekulipa na yeye ni kama wewe tu
 
Una uelewa finyu hata kwenye mambo madogo, mtoa mada kauliza kwanini CCM wanamshambulia Heche, wewe unakimbilia michango ya Chadema. Anayekulipa na yeye ni kama wewe tu
Gentleman,
In fact
unaoelezwa zaidi ni ufisadi wake heche wa pesa za chadema kwa maslahi yake binafsi.
Masuala mengine kwa mfano ya uropokaji n.k,
ni kama vile alishapuuzwa tu na jamii 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…