PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
Mara nyingi nikwasababu ya umuri na uchanga wa mahusiano .....bado hawajui 'what they need in life'Ananipenda sana, ila sina hisia nae hata kidogo...
Hana kasoro yoyote, ana sifa zote kuitwa mke, lakini mimi simpendi...
Hajawai nikosea, kila siku mimi ndio namkosea lakini haniachi..
Ananipenda sana, muda mwingi anazungumza kuhusu ndoa, anawapenda na wazazi wangu pia
Sijui kwanini mimi simpendi, yani namtamani tu pale napokuwa N.y,ege..
Kwa mambo makubwa alionifanyia naogopa kumwambia simpendi.. Nahis anaweza ata kuniua
DAH,
View attachment 1135849View attachment 1135850View attachment 1135851
Sijui kwanini simpendi... Mimi ni mzima tupo kwenye relation tangu dec 2017Seriously we so mzma
Mkuu hapa unawaongelea wakina nani?Mara nyingi nikwasababu ya umuri na uchanga wa mahusiano .....bado hawajui 'what they need in life'
Maybe so chaguo lakoSijui kwanini simpendi... Mimi ni mzima tupo kwenye relation tangu dec 2017
Hata mini sijushauri umpende, ila usimuonyeshe kama humpendi... Siku na yy hisia zake zikihamia kwa mwengine ndio utajua kama unampenda au haumpendiSijui kwanini simpendi... Mimi ni mzima tupo kwenye relation tangu dec 2017
Siku ukikutana na manyangau utajua thamani ya huo upendo
Sana DemisEwaah atajutaaaa
Jinsia zote hususani wanaumme kwasababu wanawake walio wengi wanaongoza na hisia sio logic anaacha mtu anae weza kumuhudumia kila kitu anaondoka na yule aliemuona kwenye ndoto yake ya ucku Mungu hakuweza kuwapa wanawake 'emotion intellegence' katika hilo walio wengi hufuata hisia zao mara nyingi paka afikishe 35 to 45 ndo anaanza kutumia logic and reason kwenye mapeziMkuu hapa unawaongelea wakina nani?
Yani adi nashangaa, yupo tayar kufanya chochote ili mradi tu mapenzi yetu yaendelee... Kila nikileta kisingizio cha kuachana..anatatua na wala hajaliHuyo Dada anaonekana anampenda hasa
Ila sijui tulikosea wapi wanawake,mara nyingi huwa tunapenda tusikopendwa alafu hata ukiambiwa ondoka uwezi unakuwa Kama umelogwa [emoji24][emoji24][emoji24]
Mungu tunusuru
Kama humpendi angalau basi usimuumize,tafuta peaceful way ya kukuelezaYani adi nashangaa, yupo tayar kufanya chochote ili mradi tu mapenzi yetu yaendelee... Kila nikileta kisingizio cha kuachana..anatatua na wala hajali