Shemeji mimi sijawahi kuficha miaka yangu hata siku moja....ila siwezi kusema hadharani hapa maana kuna wengine wasio wastaarabu wakishajua umri wako ndo inakuwa fimbo ya kukuchapia....chochote utakachosema kinahusishwa na umri wako....mimi binafsi sijawahi kujifanya mdogo kuliko umri wangu hata siku moja