Kwanini hawakanushi mtoto wa Rais Kuhusika na utekaji?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Hizi ni tuhuma nzito sana..Mtoto wa mkuu wa nchi kuhusishwa na genge la utekaji! Tena anayetoa tuhuma hizi alishawahi kuwa mtu wa ndani kabisa Ikulu.

Au ndio kusema kisu kimegusa mfupa na maumivu yanaingia kimyakimya?

Sativa ametajwa kuwajua wataekaji.

Mtoa tuhuma anadai yupo Cuba amekosa nauli ya kurudi kwao.
 
Consultants wa haya mambo nasikia ni waarabu. Yaani mfumo wetu ni kama umekuwa by-passed, na upo upo tu ila main architecs wa mipango yote ni waarabu na mtoto pendwa Abdu.
 
Niliwahi kuambiwa na afisa mmoja wa juu wa vyombo vya usalama kuhusiana na huyo Abduli, kwa kweli inasikitisha na kukatisha tamaa sana. Wanasema huyo mtu ni kama ana jeshi lake binafsi linaloripoti kwake moja kwa moja. Na mipango yote inafanyika nyumbani kwake. Na nyumbani kwake kuna mifumo ya ulinzi wa ajabu aliyoyengenezewa na wachina. Na hiyo nyumva yake, ni kama bank, kuna mamilioni ya dola zimerundikwa tu. Na kuingia ni kwa sensor ya vidole vya watu wachache sana. Wengine wote kuingia huko kwake ni lazima uongozane na hao watu wake anaowaamini. Hapo nyumbani kwake ndipo mipango yote haramu ya kuwaangamiza watu, uporaji wa rasilimali za Tanganyika, ndipo hufanyika.
 
Aisee ngoja muda wa mama yake uishe kuna watu watalia na kusaga meno.
 
Ile siku wanafungia kanisa la Gwajima na watu walivyogoma kulikuwa kuna hao watu walioshika bunduki katika mavazi hayo.

Sasa kama imekuwa ngumu kuwatofautisha polisi na vibaka basi amini watekaji wanatokea huko huko polisi katika mfumo tofauti tu wa kimavazi na muonekano.
IMG-20250920-WA0000.jpg
 
Aisee ngoja muda wa mama yake uishe kuna watu watalia na kusaga meno.
Wanachofanya ni kuhakikisha wanaweka "succession plan", plan itakayowalinda wao na vizazi vyao. Ndio maana JK alivurugwa sana kuona EL anapata nguvu na kutaka kuingia State House, walikuwa marafiki ila wakakosana so jamaa alikuwa na hofu kubwa.

Hata ⌚️ 100 analijua hilo, atahakikisha ni mtu wa kulinda maslahi yake na vizazi vyake.
 
Ile siku wanafungia kanisa la Gwajima na watu walivyogoma kulikuwa kuna hao watu walioshika bunduki katika mavazi hayo.

Sasa kama imekuwa ngumu kuwatofautisha polisi na vibaka basi amini watekaji wanatokea huko huko polisi katika mfumo tofauti tu wa kimavazi na muonekano.
View attachment 3476690

Nchi ya kipumbavu sana hii.
 
Hizi ni tuhuma nzito sana..Mtoto wa mkuu wa nchi kuhusishwa na genge la utekaji! Tena anayetoa tuhuma hizi alishawahi kuwa mtu wa ndani kabisa Ikulu.

Au ndio kusema kisu kimegusa mfupa na maumivu yanaingia kimyakimya?

Sativa ametajwa kuwajua wataekaji.

Mtoa tuhuma anadai yupo Cuba amekosa nauli ya kurudi kwao.
Wanalichunia wakiomba lipite na lisahaulike, wakijibu Slowslow ataanza kumwaga data. Kwa sisi wataam wa espionage huwa tunakuwa makini na pattern, saga la dogo Abdul lilianzia kwenye kuingiza container la silaha, 'uncle' wa Abdul yule bonge wa Kizimbabwe ni arms dealer, wasiojulikana inasemekana ndiyo amekuwa chief strategist, sponsor na chief operation officer yaani ndiyo jicho la yule bi Urojo na wasiojulikana kwa sasa wanakula mema ya nchi.
The equation is very straightforward, kazi kwako.
 
bandari wameuza kwa kikundi cha wahuni milele,
Wamasai wanafukuzwa kwenye Ardhi yao

Wameshindwa kutengeneza ajira yoyote mpya ndani ya miaka 10,

Hakuna jambo wanaweza zaidi ya utekaji,

Fursa za nchi wanampa mgeni,

Mtanzaniani kilichobaki ni kitombwa tu .
 
Huyu kijana ana zidi kumtia doa mama yake kadri siku zinavyoenda ndivyo anavyozidi kuharibu.Ataua na kuua mwisho wake atachoka na atalipia hayo mabaya. Mbona Ridhiwani hana roho katili kama huyu kuna namna kwenye malezi wazazi walikosea
 
Back
Top Bottom