Kwanini hatutumii nguzo za zege kwa ajili ya umeme kama Kenya?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,953
Reaction score
6,996
Kenya wanatumia nguzo za Zege na zinadumu kwa miaka mingi. Hivi ni kwanini Tanzania tunaendekeza kutumia nguzo za miti tu badala ya kuchanganya ili kuhamasisha viwanda vya nguzo za zege pia?

Mfano Pwani kuna viwanda viwili vya nguzo za zenge lakini wizara ya Nishati na TANESCO na REA hawanunui hizo nguzo wakati wanajua ukizitumia utakaa mda mrefu bila kureplace nguzo za umeme.

Kutokana na hili, ndio nauliza; Je, serikali na watendaji wake kweli wana akili?
 
Maeneo ya oysterbay niliona walijaribu kuzitumia hizo nguzo za zege nadhani kuna maeneo na maeneo wanayotumia na wasiyotumia.
 
Nonsense kabisa ...

Kwako umeweka nguzo za zege? Tuanzie hapo.
 
Capture.JPG
Picha ya nguzo za zege
 
Kenya wanatumia nguzo za Zege na zinadumu kwa miaka mingi. Hivi ni kwanini Tanzania tunaendekeza kutumia nguzo za miti tu badala ya kuchanganya ili kuhamasisha viwanda vya nguzo za zege pia?

Mfano Pwani kuna viwanda viwili vya nguzo za zenge lakini wizara ya Nishati na TANESCO na REA hawanunui hizo nguzo wakati wanajua ukizitumia utakaa mda mrefu bila kureplace nguzo za umeme.

Kutokana na hili, ndio nauliza; Je, serikali na watendaji wake kweli wana akili?

Ni kwa sababu Tanesco wanataka kuiba na walishazoeleshwa hivyo toka tawala zilizopita. Hapa Tanzania kila kitu ni wizi tu na ndiyo maana unaona hata baadhi ya mawaziri wana hasira sana na Magufuli kwani walifikiri vile walivyochaguliwa kuwa mawaziri walikuwa wanakuja kuiba, kumbe hapa ni kazi tu si vinginevyo.
 
weka picha.
 
Huu ni ukweli, nchi hii wapigaji wengi sana
 
Tanesco chaka la ccm kupatia pesa za vikao dodoma.Nguzo za miti zilishapitwa na wakati pia ni uharibufu wa mazingira pili hazidumu zinaliwa na mchwa tatu bei ghali
 
Kenya wanatumia nguzo za Zege na zinadumu kwa miaka mingi. Hivi ni kwanini Tanzania tunaendekeza kutumia nguzo za miti tu badala ya kuchanganya ili kuhamasisha viwanda vya nguzo za zege pia?

Mfano Pwani kuna viwanda viwili vya nguzo za zenge lakini wizara ya Nishati na TANESCO na REA hawanunui hizo nguzo wakati wanajua ukizitumia utakaa mda mrefu bila kureplace nguzo za umeme.

Kutokana na hili, ndio nauliza; Je, serikali na watendaji wake kweli wana akili?

Kuna kampuni imeundwa hivi karibuni ndani ya tanesco ambayo itajiusisha na uzalisha wa nguzo hizi za zege. Nadhani si muda mrefu tutashuhudia nguzo nyingi za zege mitaani kwetu
 
. Hapa Tanzania kila kitu ni wizi tu na ndiyo maana unaona hata baadhi ya mawaziri wana hasira sana na Magufuli kwani walifikiri vile walivyochaguliwa kuwa mawaziri walikuwa wanakuja kuiba, kumbe hapa ni kazi tu si vinginevyo.
Mawaziri wana hasira kwa sababu jiwe linaiba lenyewe na watu wake wa karibu. Ndiyo maana jiwe likaitoa Tanzania kwenye OGP ili lifanye mambo gizani, huku likiwatumia robots kama wewe kulitetea. Jiwe linazidi kung'ara tu, wakati nyiye wapiga vigelelege wake mkizidi kupauka.
 
Zilishaanza kutumika baadhi ya maeneo, nakumbuka walionyesha na kiwanda kinachozitengeneza
 
Back
Top Bottom