kadovela
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 471
- 678
MIMI SINA DINI NINA UWOKOVU NDANI YA YESU KRISTO. NA AMBACHO NAKUAMBIA NI KWAMBA MUNGU KATIKA YESU KRISTO NDIYE ANAPASWA KUABUDIWA NA SIO VINGINEVYO. UAMUZI NI WAKO TUUsikwepe swali mm sijamuuliza MUNGU nimekuuliza wewe, pia hata mm na wenzangu hayupo asieamini au shaka kwa UWEPO WAKE MUNGU mwenyezi na ndio maana hata kabla ya hizo dini zenu walitukuta tayari tunamtabua na tuna muabudu kitakatifu kabisa hilo halikuletwa na wao,, tatizo ni pale mnapompakazia MUNGU wetu kuwa ni miungu ooh mizimu au shetani kisa tu tuhamishe IMANI , tukiomba mthibitishe mnakuja juu
Kwa taarifa mm ninayo shuhuda Nyingi sana za uwepo wa MUNGU na matendo yake kwangu direct SIO kwa kupitia hizo dini zenu