bishororo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 254
- 358
UKIMWI ni janga ambalo limesumbua sana kwa zaidi ya miak 40 sasa na kuua ndugu zetu wengi pamoja na kuacha yatima, wajane kibao. Ugonjwa ni kama umetushinda lakini sitaki kuamini hivo kwa kuwa hakuna ugonjwa usio na tiba Mungu kashasema.
Na kwanini swala la Dawa na tiba sisi kama Tanzania hatujatilia mkazo? Sijawahi kusikia serikali imeweka bajeti ya kufanya utafiti wa tiba na Dawa juu ya ugonjwa.
Wanasayansi wetu na vyuo mbalimbali ni kama hawahusiki vile. Mimi nadhani ni wakati wanasayansi wetu pamoja na serikali tuanze kufanya research juu ya tiba na kinga juu ya 'this disease'. Naamini kila Kitu kinawezekana chini ya jua. Hatuwezi jua, inawezekana ndo tukawa nchi iliyoleta tiba.
Kwahiyo bdala ya serikali kutilia mikazo mambo yasiyo na msingi pengine tuhimize wanasayansi, watu wa tiba za asili labda wanaweza wakaja na tiba sahihi. Sidhani kama kuna mtu Tanzania hii ana ndoto ya kuvumbua dawa lakini kwa utafiti wangu mfupi naamini dawa ipo na itapatikana.