Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Hahahahaha nimekaa nacheka tu ofisini mpaka boss kaniitaNiletee hapa hizo movie zako ulizoangalia nitoe kasoro za makusudi....wabongo hadi subtittle wanaandika upumbavu.
Tangu nione basi limesimama konda anatangaza kuchimba dawa .....na subtittle wameandika "to dig medicine" niliacha hapo hapo kuangalia bongo movie. They are not serious kabisa.
Wabongo mna laana mmedharau bongo movie sasa hivi mnatafsiriwa kwa kulishwa tango pori mkomeMovie iliyotafsiriwa naanza kwa kusoma subtitle alafu namsikiliza anachotafsiri jamaa.
Baada ya hapo natoa cd naweka mziki wa kunifanya nipunzike....
AhahahahhahaKwa anaye jielewa kununua na kuangalia hizo kitu.hakika unatakiwa kuombewa. Na nabii tito.mpuuzi wewe
Doh makubwaaMie na bongo movie namjua Kanumba Ray na Wema. Siwajui wengine. Story za movie zao sio nzuri. Wapiga picha hawana ubora Wale wafanya editing hawajui vizuri kazi zao. Ila Nigeria ndio hunitoi.
1. Wanajua ku act. Story zoa ni nzuri.
Angalia movie kama
Christian marriage
Moment of truths
Blind kingdom.
Ndio utaona tofauti kati ya bongo movie na wengine.
DohMimi nilikua mpenzi wa kuangalia bongo movie mpaka DVD zao nilinunua sana . Lakini sasa nimeacha baada ya kuona movie moja bibie kaudhiwa na mpenzi wake akaamua kujiua . Alikwenda moja kwa moja dukani akanunua sumu ya panya , baada ya kutoa fedha na kupewa sumu hiyo , akasubiri chenchi !
Ahahahaha we jamaa Acha uongo basi dohmie zilini chefua kuna Movie moja niliona mtu ana weka sumu kwenye chakula halafu anaonja kama imekolea au Laa,hapo ndio nikasema Basi.
Mimi sikubaliani na movie zilizotafsiriwa ndo maana nikishaona subtitle haiendani na kinachoongelewa naachana nayo.Wabongo mna laana mmedharau bongo movie sasa hivi mnatafsiriwa kwa kulishwa tango pori mkome
nikaona fremu kibao movie za kichina Na bongo movies nikasogea nikaona nikusanye bongo movies zone za mapenzi kwasababu ndio field yangu
Ndio nimeanza kuangalia mwezi uliopita my friendBila shaka wewe utakuwa msanii wa bongo movie, umewahi kufanya tathimini juu ya bongo movie compared to other movies!?
Doh ni sheedahMimi sikubaliani na movie zilizotafsiriwa ndo maana nikishaona subtitle haiendani na kinachoongelewa naachana nayo.
Unaweza pata movie nzuri ila imetafsiriwa, ukatafuta ya kingereza tupu ukakosa.
Bongo movie zipo nzuri ila tatizo utunzi wake hauna ufundi. Unaweza jua itaishiaje
AhahahahaLabda wao sio field yao!