Wapo, wapo!!!!
Hahahaaa kuna siku tutaulizwa mbona hakuna wanaume wanaobeba ujauzito[emoji125] [emoji125] [emoji125]Wenzetu muda wa kuwazaga mambo kama haya mnatowaga wapi jamani??
Hahahaaa kuna siku tutaulizwa mbona hakuna wanaume wanaobeba ujauzito[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Napenda mtu anayefikirisha wengineHa ha ha a! hawashindwi, kuna watu wanawazaa mpaka huruma
Napenda mtu anayefikirisha wengine
Uje na dhawadiSawa kaka ngoja nikamagufulike sasa
Fanya uchunguzi kwa makini, mbona kule umasaini wale wanawake hunyoa vipara kabisaJamboni wote wana JF. Nimekuwa nikiwaza sana bila kupata majawabu ndipo nimeona niombe kwenu msaada. Ni kwamba maishani mwangu sijawahi kuona mwanamke yeyote yule aliye na upara kichwani. Hii inamaanisha kwamba vipara ni kwa ajili ya wanaume tu? Siku za nyuma niliamini kuwa ndevu ni kwa wanaume tu lakini hivi sasa tunashuhudia wamama wengi tu wakiwa nazo!!!!
Hapa pana harufu ya kupata jibu. Mdau hebu chakata vizuri ama tudadavulie hapa uhusiano wa korodani na kipara tukae sawa.Wawe na vipara kwani wanakorodani
Ndio mkuu reseach ilishafanyika huko kwa wenzetu na ukiwa na korodani ndogo uwezekano wa kuwa na kipara kikubwa ni mkubwaHapa pana harufu ya kupata jibu. Mdau hebu chakata vizuri ama tudadavulie hapa uhusiano wa korodani na kipara tukae sawa.