Kwanini hakuna chanjo ya UKIMWI?

UKIMWI NI MRADI WA USA KILA MWAKA WANAINGIZA MATRION YA PESA KWA WAHANGA
 
Usiache kuvaa condom ,yule mdudu anasifa Moja kuu

Hana UMBO maaLum(irregular shape) endelea kuvaa condom kwenye bypass zako au bakia njia KUU... hautibiki
 
Acha story za vijiweni mkuu
mfano mdogo hizo njugu unazoletewa kwa mfano wa bure sio bure unavyofikiria ww kunakitu wanapata yani ni nipe nikupe... Wambie viongozi wako wakuwekee mikataba yao hiyo wanaoita ya siri inayohusu a.rv... Mabeberu wanavuna palefu na wamewekeza karibia nchi zote hasa africa
 
U
Umeitoa kijiwe gani mkuu
 
Hiyo chanjo leteni nyie, nani kawakataza?
 
Sababu hauwasumbui wazungu. Weusi wanaoumwa wamekalia ujinga ujinga. Zuma anasema tiba ni kuoga baada ya ngono, Mbeki anasema UKIMWI haupo. Na hao ndiyo viongozi wa nchi tunayoitegemea iwe mstari wa mbee kutafuta chanjo. Mbaya zaidi wameingia wahubiri na waganga katikati wanadai upo UKIMWI wa kurogwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…