Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,661
Kwanini viongozi wasibuni mbinu za kukomesha hizi hila maana ukienda warabuni,China,marekani na ulaya kwaujumla hutaona wagonjwa labda watu weusiUkimwi ni mradi mkubwa tu, usitegemee chanjo.
Kabla hazijaanza kuchukuliwa hizo dhahabu babu zetu walikuwa wanazitumia kucheza bao 😂😂Habari wakubwa zangu wa kazi
Nimekuwa nikijiuliza muda sasa,hivi kwanini hakuna chanjo ya virusi visababishavyo UKIMWI?
Wataalam wamekuwa wakitengeneza chanjo za magonjwa kadhaa ambapo watu huchomwa sindano ili kuzuia au kujikinga na maambukizi.
Kwamfano:korona,pepopunda,kifadulo,polio nk.Hizi ni chanjo tunazochanjwa tukiwa watoto kabisa kuzuia maambukizi.
Swali langu ni je,wataalam hao hao wameshindwa kutengeneza chanjo au miili yetu wanaifanyia biashara?
Mbona wanatutisha na kutuuzia makondom na dawa za ARVs au aina hii ya virus wanatengeneza wao ili watuuzie sisi waafrika ili hata kama pesa ya kununua hatuna tukopeshwe wao waje kubeba dhahabu zetu na mali zingine tulizojaliwa?
Naomba niseme tu kuwa ni fikra zangu tu katika kuwaza naomba nisaidiwe kimawazo badala yakuniambia sijasoma wala situmii akili katika kuwaza🙏
❌biashala
Ndiomaana nasemaga. Hii nchi wajinga hawawezi kuisha☹️Kuna watu wanasema wanatibu Ukimwi na magonjwa mengine mengi tu kama Cancer, Diabetes, kutumia chakula, herbs, na matunda na wana shuhuda watu wengi wamepona kutumia tiba zao.
Kwasababu inafahamika watu weusi tunapenda kupigana pipe mwanzo mwenga...😜Kwanini viongozi wasibuni mbinu za kukomesha hizi hila maana ukienda warabuni,China,marekani na ulaya kwaujumla hutaona wagonjwa labda watu weusi
Acha story za vijiweni mkuuBiashara za watu hizo, unataka chanjo tuue mradi?
Acha story za vijiweni mkuuUkimw ni biashala ya watu
Story za vijiweni . Wewe ukipata Ukimwi utamfaidisha Nani wakati ARV zenyewe unapewa bure 🤣Ukimwi ni mradi mkubwa tu, usitegemee chanjo.
Hao nao ni wafanyabiashara tuu kama hao waliobuni UkimwiKuna watu wanasema wanatibu Ukimwi na magonjwa mengine mengi tu kama Cancer, Diabetes, kutumia chakula, herbs, na matunda na wana shuhuda watu wengi wamepona kutumia tiba zao.
Kwamba serikali nayo inazipata hizo dawa bure??Story za vijiweni . Wewe ukipata Ukimwi utamfaidisha Nani wakati ARV zenyewe unapewa bure 🤣